Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Mashabiki wa Simba hawana Uvumilivu kabisa.
 
Sipati picha kelele za Jerry Muro kama Yanga ikishinda.
 
Hii mechi Simba anashinda vizuri msihofu kabisa Wana Simba
 
Kipindi cha pili kimeanza safari ya dakika 45, hakuna mabadiliko kwa sasa

Ni madhambi yanafanyika, Free Kick kuelekea Yanga

Inapigwaaaa, kwake Mkude kwake Luis kwake Mkude tena inapigwa mbele Jaffar anatoa njee
 
50' Hussein kwake Kahataaaaaaa, Kona, inapigwaaaaaa Kona lakini refa anasema Kahata ameunawa

Yanga SC 1-0 Simba SC
 
57' Bernard Morrison ametoka na ameingia Sibomana upande wa Yanga
 
Yaani dk 60 zilizopita ulikuwa hutoi kauli kama hii nini kimekusibu
 
Wakati huo huo Simba wamekoswa mara mbili na sasa no kona kwenda Simba
 
Back
Top Bottom