Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Mpira umekwisha Vyura fc wanaibuka na ushindi hapa
 
90+5'

Kuelekea kumalizika kwa mtanange huu wa VPL

Wanaanza mpira nyuma mabeki wa Simba, lakini wanakosea wanamiliki mpira umiliki kwao Yanga sasa hayaaa wanakwenda anapiga shutiiii gooo laaaaaa mpira unagonga mwamba.

Wanakwenda Simba sasa Kwake Kennedy anapigaaa mpira ule la laaaa njeeeee, ilipigwa Counter attack kuelekea lango la Yanga, lakini shuti la Kennedy linapaa lango la Yanga, haya sasa dakika za lala salama bado sekunde chacheee

Metacha anapiga goal kick ndefu kule wanaruka wachezaji wawili juu

Naaaaaaam mpira umekwishaa uwanja wa Taifa

VPL, FT: Yanga SC 1-0 Simba SC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…