Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Vyura kwenye huu uzi hawaji labda wabahatishe japo sare ndo utawaona hapa.Asante sana mkuu wazunguwawili nimepata supu mapema sana ikitoka Kiembesamaki kuja hapa Dar..Sasa kazi kushuhudia huu mtanange wa vuta nikuvute, kanyaga nikuruke, piga nizuie...!
Itajulikana dakika 90 kuamua
Yaani ni kwamba hawajiamini kabisa na timu yao.
Naona wanachungulia tu na kuondoka.