Marry Ngowi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 262
- 294
Simba wewe, na nakwambia mtalia hadi mechi ingine mwakani na hamtufungi tena ng’o!Ujinga tu
tutawatania mwaka mzima kwa taarifa yako sherehe mwezi mzima hadi mlazwe hospital!Wewe juzi kwako ni jana. Au upo kolomije umepata matokeo sahivi unaleta mbwembwe
Umekosea mlengwa nadhanitutawatania mwaka mzima kwa taarifa yako sherehe mwezi mzima hadi mlazwe hospital!
Wachezaji wengi wa Yanga walikuwa katika kiwango bora sana, mtu anashindwa hata ampe nani man of the match maana karibia wote wamejitahidi kutimiza majukumu yao kwa zadi ya asilimia 50.Wakuu jana tumeshuhudia kandanda safi na la kuvutia kwa timu zote mbili hasa timu iliyopata ushindi Dar es Salaam Young Africans.Sasa ni wakati wa kuchambua na kupata mchezaji stahiki wa kuwa Man of the Match.Kiupande wangu Feisal Salum Abdallah anastahili kuwa man of the match kwa kile alichoonesha mbele ya rais wa JMT na rais wa CAF ndugu Ahmad Ahmad.Alikua aggressive sana na utulivu wa hali ya juu katika kutoa maamuzi ya wapi pa kupeleka mpira.Kiufupi roho na engine ya Yanga jana ililala kwa huyu bwana mdogo Feitoto..Je,nani alistahili kuwa MoTM kwa upande wako,kwako Mwalimu Kashasha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nao haukawii😬Hahahahaaa. Mtani na usiku wa kufungwa je unakawia haukawii? 😎
Wachezaji wengi wa Yanga walikuwa katika kiwango bora sana, mtu anashindwa hata ampe nani man of the match maana karibia wote wamejitahidi kutimiza majukumu yao kwa zadi ya asilimia 50.
Vipi kuhusu Metacha Mnata michomo ya wazi aliyoipangua? Vipi msumbufu Benard Morison aliyeisumbua ngome ya Simba na ndiye aliyetenganisha matokeo ya Derby?
Vipi Juma Makapu, jana alikuwa kama vile kijana wa miaka 21 au 22 alicheza kwa akili kubwa nakuwaziba midomo watu waliombeza kuwa bora angeanza Yondani kuliko yeye?
Tshishimbi, na Haruna niyonzima, Mapinduzi balama je vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
akijibu tuambianeNalisubiri jibu lake kwa hamu
Tehtehteh shangazi hiyo Sasa ni roho mbaya...aaah....ok....Kwanza walizidi midomo....na iwe hivyo usemalo....tehtehtutawatania mwaka mzima kwa taarifa yako sherehe mwezi mzima hadi mlazwe hospital!
Yaani ilikuwa burdani hasaaa. Ila mlinywea mbaya yaani mulijaa ila mukawa kimyaa mwanzo mwisho. 😅😅Hahaha ndumba timu zote mbili zinatumia mtani sema Jana babu yenu alituzidi.
Ukiachana na yote Jana mlikuwa kwenye ubora wenu mtani.
Mimi nakawa najisemea na hawa hawa yanga utoporo ama?
Thimba wa mjini nyie. 🤣🤣 Pole Mtani ndio kabumbu hilo.Naam mtani, nshakuwa nyau tena, umenikata sharubu tehe tehe, ila ubingwa sikuachii
Hahahaaa. Hivyo ulishangaa tu kumekucha fasta kama nakuona ukawa unawaza namna ya kulog in. Teh teh. 😎Nao haukawii😬
Pongezi kwa ushindi👏👏
Simba nguvu moja
😅😅😅😅tutawatania mwaka mzima kwa taarifa yako sherehe mwezi mzima hadi mlazwe hospital!
Hahahahaaa. Sijui waliipataje aiseee.Hivi hawa mbumbumbu walitoaje sare kwenye ile game ya kwanza?