Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Wakuu jana tumeshuhudia kandanda safi na la kuvutia kwa timu zote mbili hasa timu iliyopata ushindi Dar es Salaam Young Africans.Sasa ni wakati wa kuchambua na kupata mchezaji stahiki wa kuwa Man of the Match.Kiupande wangu Feisal Salum Abdallah anastahili kuwa man of the match kwa kile alichoonesha mbele ya rais wa JMT na rais wa CAF ndugu Ahmad Ahmad.Alikua aggressive sana na utulivu wa hali ya juu katika kutoa maamuzi ya wapi pa kupeleka mpira.Kiufupi roho na engine ya Yanga jana ililala kwa huyu bwana mdogo Feitoto..Je,nani alistahili kuwa MoTM kwa upande wako,kwako Mwalimu Kashasha

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wengi wa Yanga walikuwa katika kiwango bora sana, mtu anashindwa hata ampe nani man of the match maana karibia wote wamejitahidi kutimiza majukumu yao kwa zadi ya asilimia 50.

Vipi kuhusu Metacha Mnata michomo ya wazi aliyoipangua? Vipi msumbufu Benard Morison aliyeisumbua ngome ya Simba na ndiye aliyetenganisha matokeo ya Derby?
Vipi Juma Makapu, jana alikuwa kama vile kijana wa miaka 21 au 22 alicheza kwa akili kubwa nakuwaziba midomo watu waliombeza kuwa bora angeanza Yondani kuliko yeye?
Tshishimbi, na Haruna niyonzima, Mapinduzi balama je vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
woyo woyoyyo woyyoooo, wakuwapi hao mbulukenge mikia hao, eheeee wameingia mittin? sasa tunawafuata huko huko mittini, salama yao washuke tuu kutoka huko mittin, tuwachape kidude kingine alafu warudi tena huko mittin!
 
Wapewe tu 200M yao kila mchezaji ali perform kwa kiwango cha juu sana
Wachezaji wengi wa Yanga walikuwa katika kiwango bora sana, mtu anashindwa hata ampe nani man of the match maana karibia wote wamejitahidi kutimiza majukumu yao kwa zadi ya asilimia 50.

Vipi kuhusu Metacha Mnata michomo ya wazi aliyoipangua? Vipi msumbufu Benard Morison aliyeisumbua ngome ya Simba na ndiye aliyetenganisha matokeo ya Derby?
Vipi Juma Makapu, jana alikuwa kama vile kijana wa miaka 21 au 22 alicheza kwa akili kubwa nakuwaziba midomo watu waliombeza kuwa bora angeanza Yondani kuliko yeye?
Tshishimbi, na Haruna niyonzima, Mapinduzi balama je vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tutawatania mwaka mzima kwa taarifa yako sherehe mwezi mzima hadi mlazwe hospital!
Tehtehteh shangazi hiyo Sasa ni roho mbaya...aaah....ok....Kwanza walizidi midomo....na iwe hivyo usemalo....tehteh
 
Back
Top Bottom