Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Asante sana mkuu wazunguwawili nimepata supu mapema sana ikitoka Kiembesamaki kuja hapa Dar..Sasa kazi kushuhudia huu mtanange wa vuta nikuvute, kanyaga nikuruke, piga nizuie...!

Itajulikana dakika 90 kuamua
Vyura kwenye huu uzi hawaji labda wabahatishe japo sare ndo utawaona hapa.
Yaani ni kwamba hawajiamini kabisa na timu yao.
Naona wanachungulia tu na kuondoka.
 
Huo ni mtazamo wangu sijagandamizia wala kulenga upande wa Mshana Jr...ina maana mtu akibet man u anashinda mtu mwngne ashindwe kubet ivo kwa kuwa fulan kafanya
Umedanganywa na Mshana,Giza haliwezi ishinda Nuru!
 
Mkuu mmteule upo? Game muhimu sana kwako, haya karibu kwenye kipute kushuhudia burudani ya aina yake..!
Mkuuu nishafika niko Mitaa ya Klabuni happa kupata Tisheti yenye Mmteule Mgongoni. Vijana wako vizuri hapa Langoni tukutane jukwaaani leo!
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…