Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Haruna kapiga, lakini Kapombe kafanyiwa faulo mpira unapigwa kwenda yanga
 
64' Nchimbi anakwenda anapigaaaa Go laaaaaaaaaa golikipa Manula anacheza na kuokoa hatari ile

Ilikuwa nafasi kwa Yanga kuandika bao
 
Hawa simbilisi leo tunaua!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ametoka Kahata, ameingia Deo Kanda upande wa Simba

Kennedy kwake Wawa, Balama anazuia kwake Faisal inapigwaa Offsideee Nchimbi

Yanga SC 1-0 Simba SC
 
Yanga wameokoa, ila sasa Yanga wameamua kupaki bas na kushambulia kwabkushitukiza.
 
Back
Top Bottom