Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Ila Mtani bwana hivyo mngeshinda nyie ndio usingekuwa uchawi. 😂😂

Kubalini tu kiwango chenu mwisho kwa Azam ila si kwa Yanga.

Ahsante. 🙏🙏

Mtani kwa matokeo ya jana mna haki miliki ya kuongea chochote, hata huu ubingwa tunaouchukua tutawakabidhi tu.

Hii ni fedheha kabisa.
 
Mtani kwa matokeo ya jana mna haki miliki ya kuongea chochote, hata huu ubingwa tunaouchukua tutawakabidhi tu.

Hii ni fedheha kabisa.
Hahahaaaa. Niwe mkweli ubingwa unanoga kwa kumfunga Mtani wako. Sasa kwenu safari hii unakuwa mchungu zaidi ya shubiri.

Yes ni fedhea hasa Mtani. Ila yatapita. 😂😂😂
 
YULE YULE KIBAKA / MWIZI WA MAGARI KAWALAZA NA VIATU. SALAALE. 😅😅😅😅

20200309_062051.jpg
 
Binafsi ninajivunia kuwa shabiki wa SIMBA SC. Timu ambayo ikifungwa Mashabiki wake wanakubali walizidiwa mbinu za mchezo ila jana ingelishinda Simba SC mashabiki wa Vyura FC ungeliwasikia Simba wamebebwa.
Hongereni wanawake kwa Kupata furaha kwenye siku yenu. SIMBA SC Mabingwa watarajiwa kwa miaka 8 mfululizo ijayo. DIE HAD FAN.
 
Back
Top Bottom