Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

MKUU KWA NN NASEMA HIVI
SIMBA SIO WAGEMI KWA MANULA

MANULA.MAGOLI YA MBALI ÀENDI
CC GOLI LA YANGÀ LA MECHI ILIOPITA

SOLN
N WACHEZAJI KUTORUHUSU FAULO ZISIZO NA MSINGI HALI WAKIJUA UDHAIFU WA KIPAWAOO
 
Kombe pekee ambalo Vyura wanaweza kushinda ndani ya miaka 8 ijayo ni kuifunga Simba SC.
Ila hawa Vyura wanadhiki sana mechi ya January 4 waliahidiwa magodoro wakakamia mechi wakapata sare.
Jana wameahidiwa MIL 6 kila mchezaji wamekamia mechi wameshinda. Nina imani siku wakiambiwa mukiifunga SIMBA SC mutalipwa mishahara yenu kila mechi hawa Vyura watatufunga zaidi ya goli 10.
Lau kama mungelikamia mechi za Mbeya City na Coastal Union kama mnavyoikamia Simba SC mungelikuwa munaongoza ligi.
Hongereni wanawake kwa Kupata furaha kwenye siku yenu.
Maneno ya mkosaji, nendeni mkanywe vijuice vyenu vya MO
 
Binafsi ninajivunia kuwa shabiki wa SIMBA SC.
Timu ambayo ikifungwa Mashabiki wake wanakubali walizidiwa mbinu za mchezo ila jana ingelishinda Simba SC mashabiki wa Vyura fc ungeliwasikia Simba wamebebwa.
Hongereni wanawake kwa Kupata furaha kwenye siku yenu.
SIMBA SC Mabingwa watarajiwa kwa miaka 8 mfululizo ijayo. DIE HAD FAN.
Haipunguz maumivu hii wala haibadili ukweli kuwa Simba wamefungwa kimokooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi ninajivunia kuwa shabiki wa SIMBA SC.
Timu ambayo ikifungwa Mashabiki wake wanakubali walizidiwa mbinu za mchezo ila jana ingelishinda Simba SC mashabiki wa Vyura fc ungeliwasikia Simba wamebebwa.
Hongereni wanawake kwa Kupata furaha kwenye siku yenu.
SIMBA SC Mabingwa watarajiwa kwa miaka 8 mfululizo ijayo. DIE HAD FAN.
Kombe chukueni ali mradi sisi tumeowa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KELELE ZENU KWA MANULA MNAJIONGEZEA DHAMBI LILE GOLI NA SPEED GAKE HATA KIPA WA LIV AGUSI

NYONI TULIMWAMBIA USIMKABE MORRISON UTAUMIA NYONGA ONA SASA MWEZI YUKO NJE.MAPEMA KATOLEWA

HUYU NDIE MCHAWI WENU KAMA.N LAWAMA ZIENDE KWAKE KAMA KELELE ZA AMEKULA HELA ZIENDE KWAKEE..HON MKUDE
Screenshot_20200309-073801.png
Screenshot_20200309-073834.png
Screenshot_20200309-073844.png
Screenshot_20200309-073910.png
Screenshot_20200309-073943.png
 
Back
Top Bottom