Uwanja wa taifa: Simba 2-0 Tanzania prisons, ligi kuu soka Tanzania bara

Uwanja wa taifa: Simba 2-0 Tanzania prisons, ligi kuu soka Tanzania bara

Aungurumapo Simba................, this is Simba bana... hua anasema mtangazaji wa BBC Lubunga Byaombe kutoka Kinshasa 'Kilabu La kabumbu la Simba kutoka huko Darisalama linacheza na Kilabu la kabumbu la TP Mazembe kutoka Lubumbashi, ile ndio size yetu sio hao wajelajela wa Mbeya au sijui jangwani
Aunguruma simba hakuna anayecheza ni simba pekeee
 
Tusikimbiane tu baada ya mechi maana Yanga safari hii mikeka yenu inachanika sana,wiki ilee mlikua mashabiki wa Mtibwa Sukari mkeka ukachanika, mara ya mwisho mlikua Mbeya City wakawachania mkeka leo hamjakata tamaa mnahamia Prisons, hahahaaa mna roho ngumu sana yanga
Hahahaaaaa. Mie wala sikimbii Sesten. Teh teh
 
Muda uliobakia mnyama hawezi ongeza angalau moja?
 
Back
Top Bottom