Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aunguruma simba hakuna anayecheza ni simba pekeeeAungurumapo Simba................, this is Simba bana... hua anasema mtangazaji wa BBC Lubunga Byaombe kutoka Kinshasa 'Kilabu La kabumbu la Simba kutoka huko Darisalama linacheza na Kilabu la kabumbu la TP Mazembe kutoka Lubumbashi, ile ndio size yetu sio hao wajelajela wa Mbeya au sijui jangwani
Huyu messi ni hatariKichuya kagongesha besela hapa [emoji2]
Hahaaa. Leo Mkuu umejianzishia.
Kila la kheri timu yangu ya nyumbani Prisons.
Huyu messi ni hatari
Hahahaaaaa. Mie wala sikimbii Sesten. Teh tehTusikimbiane tu baada ya mechi maana Yanga safari hii mikeka yenu inachanika sana,wiki ilee mlikua mashabiki wa Mtibwa Sukari mkeka ukachanika, mara ya mwisho mlikua Mbeya City wakawachania mkeka leo hamjakata tamaa mnahamia Prisons, hahahaaa mna roho ngumu sana yanga
Hahahaaaa.Hajar, dua la kuku hilo ujue
Simba mabingwa VPL 2017/2018Game ishaisha hii. Simba ashashinda tusubiri ya Lipuli ijumaa
Basi vuta subira 29 April sio mbaliMm ni Yanga ila nakubari uwezo wake
Jamaa ni play maker mzuri
Hahahaaa. Wasiojua Mpira hao.Msiharibu dhamira ya hii thread ni kuleta updates naona mnaanza kutambiana [emoji5]
Basi vuta subira 29 April sio mbali
Muda uliobakia mnyama hawezi ongeza angalau moja?
Simba raha jamn
Hahahaaaa.Mbn umekuja baada ya 90' [emoji2]
Hahahaaaa.