theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Let me save this mkuu.....mnaenda kupigwa tuu
Ndo madhara ya kukopi mambo....unaweka mechi usiku wakati unajua umeme hujanunua lukuTaa zimezima hapo, nasikia bonge moja la mvua linanyesha .... mtafutano hapo ndani duuu
Hahahaaah....hili jamaa linaroho mbaya kama sura ya kwenye avatar yake
wangeweka saa 10 jioni tungeshamaliza saa nyingiNdo madhara ya kukopi mambo....unaweka mechi usiku wakati unajua umeme hujanunua luku
Sawa sawaLet me save this mkuu.....
Tukutane baada ya wiki 2
kwa hiyo vipi game imesimamishwa au inakuaje?Hiii bonge la aibu inamana hamna automatic generator....? Shame on you TFF
Ndio maana yakeDuh bongo noma sana Ina maana taifa hamna jeneleta
Au wangenunua luku ya kutosha mana hapo tatizo ni luku imeisha ...huku umeme upowangeweka saa 10 jioni tungeshamaliza saa nyingi
Una ujasiri huo?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nivae deraaa nikawasuteeee
Hatari sana mkuuKwani wabongo tunaishiwa vitimbi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
afadhali sare kuliko kufungwa nyumbani mkuuKutoka tunawapiga hamsa, hadi kushangilia droo