Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Hiii bonge la aibu inamana hamna automatic generator....? Shame on you TFF
 
Inasemekana mashabiki wa Chura SC wamekata nyaya za umeme baada ya kuona dalili za Simba kupata goli la tatu. Kutokana na kushambulia kwa kasi kubwa na kuliandama goli la mwarabu.

Kweli huu mchezo wenu mchafu Mungu anawaona. Sio kwa chuki hizi.
 
Back
Top Bottom