Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Washenii taaa za magari apooo...mbungi iendelee tumnyoe mwarabu kipara
 
Mafuriko uwanja wa Taifa. Mpira umesimama na wachezaji wanakimbilia vyumbani. Muda wa mchezo uangaliwe upya.
 
Watafidia dakika zilizosalia kwenye mechi ya marudiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…