Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama hicho???Arabuni unaenda kuchezea mkono
TFF hawana aibu.Ni aibu kubwa sana.
Lakini sidhani kama mechi itaendeleaMpaka leo unawaamini watangazaji wa radio??
Hakuna mvua kubwa mvua ipo ya kawaida ambayo haiwezi kuzuia mechi
Hatari sana, hili ni doa..umeme unazimaje kizembe?Tanzania kuna vituko sana..
Iyo sijui ila hakuna mvua kubwa ya kukatisha mechi sema kama wana sababu nyingine sawa..Lakini sidhani kama mechi itaendelea
Hahahaah balaa kwa kweliIle treni ya Umeme mtapanda wenyewe,
Hahahaaah walimsikia...!
Jua tu ukweli. Hizo ni figisu.roho inakuuma mkuu kwani umeradhimishwa kushabikia vyura fc???[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaweza kushangaa imezimikaIle treni ya Umeme mtapanda wenyewe,
Acha ujinga wewe huu upepo na mvua hii huo mpira mtaucheza kwa mikonoMpaka leo unawaamini watangazaji wa radio??
Hakuna mvua kubwa mvua ipo ya kawaida ambayo haiwezi kuzuia mechi