Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Simba walikuwa wamoto dk hizi za mwisho, wakiingia sasa hivi watakuwa wamepowa
 
Sio mbaya tunachojua sisi ni kutumbua na kuteka watu tu

Kwa hayo tuko vizuri

Kwa karne hii nchi inakosa standby generator kweli jmn

Ningekuwa nina mamlaka manager angeanza kuchukua kilicho chake mapema
 
Hivi Hawa [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] wanaoropokwa Labda Niwaulize Kabla ya Umeme Kukatika Mechi ilikuwa Inamfavour Nani?
Hao Waarabu Waishukuru TFF Kuwa Umeme umekatika venginevyo walikuwa hawatoki.

Hata [HASHTAG]#Zamalek[/HASHTAG] walinufaika navua Kama hii Wakiwa Wameshapigwa Magoli Mawili na Joseph Kaniki hatimae Mechi ikahairishwa na iliporudiwa wakasonga mbele Wao.
 
Mpira unaendelea. Ndo maamuzi yaliyotolewa 2-2
 
Kwa kilichotokea Leo..waarabu wanaweza kusema tumewafanyia hujumaa...kumbe miundo mbinu mibovuu
 
Tatizo mko Chato huko mnaamini watangazaji wa radio waliosomea kwenye vyuo kama Tandabui...
Sasa hivi ni mvua gani ya kustopisha game?
Huo upepo uko wapi?
Uwanja ule umezibwa pembeni huo upepo uwanjani unaingilia wapi..
Watu wa Chato bana
Basi tufanye Dar yote unaishi pekee. Sidhan hata ikiwa ushawahi kuongia uwanjani hapo sembuse kuangalia mpira wa leo kwenye TV. Ungefanya mojawapo ya hayo usingeongea ujinga wako huu
 
Mpira unaendelea Dakika ya 89 Bado 2 -2 Uwanja umejaa maji
 
hii mvua usishangae uwanja wa taifa tukaamka kesho ukawa upo chato tanzania kila kitu kinawezekana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba ukajengwe chato!!!!!!
 
Pana Boya mmoja [HASHTAG]#Anabweka[/HASHTAG] Sana Hapa Anadai hakuna mvua Kubwa wala Nini Wakati Kajifungia Chumbani anapika Vitumbua.

Analeta ujuaji mwingi. Na Dar ni kubwa kwahiyo inawezekana yupo pembezoni.

Hii mvua, upepo na hizi radi kwa uwanja wetu huu huwezi kushangaa mechi kusimama.
 
Basi tufanye Dar yote unaishi pekee. Sidhan hata ikiwa ushawahi kuongia uwanjani hapo sembuse kuangalia mpira wa leo kwenye TV. Ungefanya mojawapo ya hayo usingeongea ujinga wako huu
Mara ya mwisho mimi kuingia uwanja wa taifa we ulikua bado hujaja mjini!
Relax n take it easy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…