Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Tuache ubishi kuna gap kubwa kati ya Simba na Yanga. Simba anacheza mpira mpaka raha.
Mmeshinda ngapi? Hivi unajua warabu wanavyocheza wakiwa nyumbani na ugenini ni tofauti ambapo ugenini huhitaji sare au kufungwa magoli machache.
 


Yaaan una mawazo kama yangu as if ndo ulikuwa kwenye ubongo wangu....


Tungewafumua 4 hawa pumbavu zao
 
Mavugo tuliambiwa jina lake halikupelekwa CAF na angecheza tu endapo Simba ingefika Hatua ya Makundi. Hii imekaaje had Leo kacheza???
 
Hii Mvua Ndiyo imeharibu Kila Kitu Kwani Kabla Ya Kunyesha Waarabu Walikuwa Wanaomba Poo....!
 
Hii ni aibu kubwa TFF, ni mara ya pili umeme umekatika. Mara ya kwanza ni hile fainali ya Cecafa na leo tena umekatika.
TFF watazamwe vizuri, ni aibu uwanja kama ule kukosa standby genereta.
Yote hii ilikuwa ni kutaka sifa tu kucheza jioni wakati umeme wenyewe wa manati! Tff iweke kanuni ktk sheria zake kuwa mechi zote za kimataifa zichezwe kuanzia saa kumi kamili mchana sharp. Hii ni aibu kwa nchi.
 
Yaaan una mawazo kama yangu as if ndo ulikuwa kwenye ubongo wangu....


Tungewafumua 4 hawa pumbavu zao
Huu ni upuuzi wa hali ya juu. Natumaini kama mtu hatajiuzulu mwenyewe mapema kesho basi atumbuliwe tu hamna namna. Kwanza wanaitia aibu nchi achilia mbali kuikosesha Simba goli zaidi ya mbili
 
Simb mikon juuuuuuuuu ngoj twende kwao washenz hawa watatup uji wa pilipili km tumefunga man ndio michez yao
 
Hivi umeme wa Tanzania haupatani kabisa na mvua? Yaani! Au tuanze na 'viwanda' vya kufua umeme kwanza? Aibu sana hii.
Nafikiri una allergy na maji ya mvua!
 
Reactions: SMU
Sasa vituo vya television vya nje vinavyoonyesha hii mechi vinasemaje?

". It is unfortunate that the game was stopped due to power interruption however no official statement has been issued so far as to why no stand-by generator was prepared beforehand...."
 
Simba Leo Hakufungwa na Timu Kubwa ambayo ipo Katika Nchi inayoenda Kushiriki Kombe la Dunia...

Jana [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] imefungwa na Kibonde kinachotoka Katika Nchi ambayo ipo Negative (-) Katika Viwango Vya FIFA.

Halafu anatokea Zazwa From Nowhere anasifia [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] eti Wa Kimataifa...

Haki Ya Nani Mwarabu Huyu angecheza na [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] basi Ndala angeliwa Mkono.

Na Wale Mafundi Gereji Wa Jana Wangecheza na Simba Basi Wangerudi Kwa Nyuso Chini Kwa Kipigo.

Hii Ndiyo [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] Bhana inayojuwa Kuwatoa Kimasomaso Watanzania na sio [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] inayogawa tu [HASHTAG]#Uroda[/HASHTAG] Kwa Majirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…