Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Mmeshinda ngapi? Hivi unajua warabu wanavyocheza wakiwa nyumbani na ugenini ni tofauti ambapo ugenini huhitaji sare au kufungwa magoli machache.Tuache ubishi kuna gap kubwa kati ya Simba na Yanga. Simba anacheza mpira mpaka raha.