Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Wa hapa hapa mmejitahidi na mpira wenu mbovu lakini mtaendelea kuwa hapa hapa. Hongereni kwa kuwa wa hapa hapa
 
Atakayeubisha ukweli huu akapimwe akili, na hali itakuwa mbaya zaidi kwa Simba, waarabu wanarudi kwao huku wakiamini wamefanyiwa hujuma na Simba, na hawa waarabu ni mabingwa wa fitina, nisiandike mengi.


Huu Ndiyo Uendawazimu Wa Kiwango Cha Lami!

Eti Kwa [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] aliyepata Draw hali itakuwa Mbaya Zaidi!!!!
Kwahiyo Kwa [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] aliyeliwa Kiboga na Wajenga Barbara Ndiyo Ana Hali Nzuri au ????
 
aminas njoo sasa huku mambo yanakaribia kuanza.
Mtani Huwezi Amni Yaani Leo Mtandao Niutumiao Umeniharibia Sana yaani.

Uwanjani Nako Mtandao Ulikuwa Ahupatikani Taabu Tupu.

Ila Aksante Kwa Dua Zako Awa Nywele Za Paka Ni Ilikuwa Bahati Yao tuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…