SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,613
- 7,889
Pathetic! Yaani sifikiri kama tupo serious na mambo yetu.Nafikiri una allergy na maji ya mvua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pathetic! Yaani sifikiri kama tupo serious na mambo yetu.Nafikiri una allergy na maji ya mvua!
HahahhaahhaMara ya mwisho mimi kuingia uwanja wa taifa we ulikua bado hujaja mjini!
Relax n take it easy
Mechi ilimalizika mkuu.. Mtag mwenzioNasubiri jibu na mimi
Hivi Kikanuni kukoje kama mpira haukwisha ktk muda unaostahili, Vipi kesho watamalizia dakika zao au ndio hayahaya matokeo?
Nasubiri jibu na mimi
Mkuu Yanga tumeshatoka ila lunyasi wana historia nzuri ya kuwatoa Wamisri kwao. Tusimame kwenye historia Mkuu!Technically Simba and Yanga they are out of the competitions!
Yale yalee
Atakayeubisha ukweli huu akapimwe akili, na hali itakuwa mbaya zaidi kwa Simba, waarabu wanarudi kwao huku wakiamini wamefanyiwa hujuma na Simba, na hawa waarabu ni mabingwa wa fitina, nisiandike mengi.
Si ndo mana mmetoka Usukumani huko Chato na Kolomije mmekuja mjini basi mnaona kama nyie ndo wamiliki wa huu mkoa wa Dar na nchi nzima...Hahahhaahha
Haya wa kuja. Mkishafika mjini basi ndo unaona umepata kweli kwel.
Naskia washafungwa la tatu
Jing@ wewe Real madrid katoka sare na Gatafe , je Adhi yakeSimba hii hii inayotoka droo na Mwadui? Au umezidiwa na mahaba?
Leo nitalala kwa amani kwa kuwa Simba wanafungwa
Kila la Kheri Al masry, msituangushe waarabu wenzenu
Yanga wangecheza na hii timu leo wangefungwa 6Wa hapa hapa mmejitahidi na mpira wenu mbovu lakini mtaendelea kuwa hapa hapa. Hongereni kwa kuwa wa hapa hapa