Uwanja wa Taifa: Simba SC 1-0 Azam FC, ligi kuu soka Tanzania bara

Uwanja wa Taifa: Simba SC 1-0 Azam FC, ligi kuu soka Tanzania bara

This is Simba huku kwetu raha tu,mnyama anatakata mnyama ananguruma.hatunywi sumu hatujinyongi.....mtaani unaendeleaje na hali.endelea kusubiri ndege stendi ya bus
 
Leo ndio leo. Haya sasa Watani zangu leo mdhihirishe ule ubora wenu sababu tambo zilikuwa nyingi sana.

Watani zangu Da Shunie, Ghazwat, Barafu ya moto msikimbie pale saa kumi itakapofika.

Mie leo niko Azam aiseee.


Tayari Tumeshaprove Ubora Wetu vipi bado unawasiwasi Na Performance ya Simba?

By the way! Pia tumeprove kuwa Bila ya Malinzi kuwepo TFF basi Simba haina Mpinzani Hapa Tz.
 
Naelekea uwanjani. Naenda kuishabikia Azam. Nataka Azam ishinde ili mrudi kwenye namba tatu yenu.


Mkuu lakini angalau uliweza Kutoka uwanjani baada ya Mchezo Kuisha?
Isijekuwa ulitolewa Kwa Ambulance!!
 
wacha wafu wazikane wenyewe leo, "jamaa" atapita katikati yao very soon. Wait n see.


Wafu Hawakuzikana Leo! Bali Mfu ndiyo Kazikwa!
Kama Wewe uhesabu Za kuwa utapita katikati! Basi sisi Tumeshapita Kwa Mbele Zamani!
 
Wana Jangwani muda huu.....!!

4e3aacf9bf272df556aa99e2b2237485.jpg


Wana Simba

53583622124354c98e5657719e103cd0.jpg


Azam

502314adde3e292b208f709b358d2ad1.jpg
 
Hahaaa. Nilikuwa mbali kidogo. Ila Mtani mpira ni dk 90 ujue.


Now, Tayari Ni Dakika ya 300 kama Sikosei na bado Goli ni lilelile moja kwa Bila.
Labda uendelee Kusubiri Kwa Dakika Nyengine 300 huenda Matokeo Yakabadilika.
 
Back
Top Bottom