Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
This is Simba huku kwetu raha tu,mnyama anatakata mnyama ananguruma.hatunywi sumu hatujinyongi.....mtaani unaendeleaje na hali.endelea kusubiri ndege stendi ya bus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kumbe tuko pamoja. Nafurahi kusikia hivyo.Nashabikia yanga.
Yule yanga damuKuna mdada anaitwa Nifa ...ni Simba Damu hivi yupo.
Mzee utakuja kufa hujaanza kuandika hata mirathiNaelekea uwanjani. Naenda kuishabikia Azam. Nataka Azam ishinde ili mrudi kwenye namba tatu yenu.
Simba wanabebwa sana na refa, nadhani wameishapenyeza rupia
Ft
1-1
Azam gl penalty
Simba anapigwa bila huruma.Mwisho wa ligi
1.YANGA
2.SIMBA
3.AZAM
Leo ndio leo. Haya sasa Watani zangu leo mdhihirishe ule ubora wenu sababu tambo zilikuwa nyingi sana.
Watani zangu Da Shunie, Ghazwat, Barafu ya moto msikimbie pale saa kumi itakapofika.
Mie leo niko Azam aiseee.
Naelekea uwanjani. Naenda kuishabikia Azam. Nataka Azam ishinde ili mrudi kwenye namba tatu yenu.
wacha wafu wazikane wenyewe leo, "jamaa" atapita katikati yao very soon. Wait n see.
Hawa mikia fc leo hawachomoki
Kiroho safi nawaombea japo mpate point moja
Hahaaa. Nilikuwa mbali kidogo. Ila Mtani mpira ni dk 90 ujue.
Hehheheh looo laiti ungejua......Mkuu lakini angalau uliweza Kutoka uwanjani baada ya Mchezo Kuisha?
Isijekuwa ulitolewa Kwa Ambulance!!