Uwanja wa Taifa: Vodacom Premier League VPL, Yanga 1 SC Vs 0 Mbao FC

Wale wa ligi iko mwanzoni sijawaona kwenye uzi huu, kuko kimya bila shaka wameishajua kuwa yanga ni kugawa kipigo kwenda mbele hana cha mwanzo wa ligi wala mwisho wa ligi yeye ni ushindi tu
 
Naskia fifa kunapurukushani goli la ajib kidogo lipoteee kwa mazingira ya kutatanisha sasa limehifadhiwa file moja na la ronaldo
 
Huyu Ajibu ana shida gani na makocha wa timu ya Taifa,.?.. Toka yuko Simba inakuwa vigumu kupata namba starz.
Hakupaswa kucheza ligi hii huyu kijana... Na hakuna mtanzania wala mwana Simba anaebeza uwezo wake hata mimi.
Kama ana kasoro fulani basi abadilike, sio kila kocha ajae starz amuweke benchi kuna kitu.
 
Ajib aliyecheza na midfield za Simba za viwango akashindwa kucheza mpira.
Hizo za kiwango ziliruhusu goli kwa mbao, na mbao amwruhusu goli kwa yanga. Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa transitive kwa maana ya kuwa kama wewe umeweza kufungwa na Mbao na mbao kafungwa na yanga basi na wewe ni kama umefungwa na yanga
 
Mimi sio coach lakini mtazamo wangu nadhani shida ya ajibu ni moja tu nayo ni, hawezi mpira wa kibabe hususani team inapo kuwa imeshindwa kumiliki mchezo.
 
You know nothing about football. Kuna scenarios nyingi umeziacha kwa makusudi. Mechi ya Mbao na Simba, Mbao walikuwa nyumbani na mechi yenu na Mbao wao walikuwa ugenini. Hizo ni mechi za mazingira tofauti kabisa.
Hizo za kiwango ziliruhusu goli kwa mbao, na mbao amwruhusu goli kwa yanga. Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa transitive kwa maana ya kuwa kama wewe umeweza kufungwa na Mbao na mbao kafungwa na yanga basi na wewe ni kama umefungwa na yanga
 
You know nothing about football. Kuna scenarios nyingi umeziacha kwa makusudi. Mechi ya Mbao na Simba, Mbao walikuwa nyumbani na mechi yenu na Mbao wao walikuwa ugenini. Hizo ni mechi za mazingira tofauti kabisa.
Hahaaaa unae jua mpira, bado unafikira za ugenini na nyumbani?
Ungetoa sababu zingine lkn sio hiyo.
Pia punguza hasira au hasira peleka kwa coach wenu
 
Team kubwa na inayo jua mpira inabidi ishinde sehemu yeyote ile.
Ni kikuuliza ni kitu gani kinacho zuia team ngeni kushinda sijui kama una majibu ya uhakika.
 
Ndio maana kukawa na mechi za ugenini na nyumbani, kuna psychological factor kwenye hilo. Sikumbuki ni lini mliwafunga Mbao kwenye uwanja wao wa nyumbani, please do remind me.

Jibu lipo post number 117

Kuto wafunga mbao CCM kirumba sio kwa sababu tulikuwa ugenini bali tuna kuwa tumezidiwa kimchezo kwa siku hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…