Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Imebidi niunganishie hapo kwa kuwa hamna uzi ulikuwa umeanzishwa kwa ajili ya mechi ya jana
Hahahaaa. Mbona Uzi wa kitambo sana. Duuuh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Mbona Uzi wa kitambo sana. Duuuh.
Usijali Kaka. Ila tumewanyoosha. 😀😀😀Imebidi niunganishie hapo kwa kuwa hamna uzi ulikuwa umeanzishwa kwa ajili ya mechi ya jana
Wanasoma namba taratibuuUsijali Kaka. Ila tumewanyoosha. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaaa. Kabisaaaa.Mtaaa wa pili kimyaaaWanasoma namba taratibuu
Swahiba upo?Hahahaaa. Kabisaaaa.
Walijua leo watapata cha kuongea. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watakaa sana mpaka waje wafunge goli safi na murua kama lile
Wanawezaje kwanza kufunga goal kama lile[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Watakaa sana mpaka waje wafunge goli safi na murua kama lile
Hawatakaa waweze aiseeWanawezaje kwanza kufunga goal kama lile[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hizo za kiwango ziliruhusu goli kwa mbao, na mbao amwruhusu goli kwa yanga. Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa transitive kwa maana ya kuwa kama wewe umeweza kufungwa na Mbao na mbao kafungwa na yanga basi na wewe ni kama umefungwa na yangaAjib aliyecheza na midfield za Simba za viwango akashindwa kucheza mpira.
Mimi sio coach lakini mtazamo wangu nadhani shida ya ajibu ni moja tu nayo ni, hawezi mpira wa kibabe hususani team inapo kuwa imeshindwa kumiliki mchezo.Huyu Ajibu ana shida gani na makocha wa timu ya Taifa,.?.. Toka yuko Simba inakuwa vigumu kupata namba starz.
Hakupaswa kucheza ligi hii huyu kijana... Na hakuna mtanzania wala mwana Simba anaebeza uwezo wake hata mimi.
Kama ana kasoro fulani basi abadilike, sio kila kocha ajae starz amuweke benchi kuna kitu.
Hizo za kiwango ziliruhusu goli kwa mbao, na mbao amwruhusu goli kwa yanga. Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa transitive kwa maana ya kuwa kama wewe umeweza kufungwa na Mbao na mbao kafungwa na yanga basi na wewe ni kama umefungwa na yanga
Hahaaaa unae jua mpira, bado unafikira za ugenini na nyumbani?You know nothing about football. Kuna scenarios nyingi umeziacha kwa makusudi. Mechi ya Mbao na Simba, Mbao walikuwa nyumbani na mechi yenu na Mbao wao walikuwa ugenini. Hizo ni mechi za mazingira tofauti kabisa.
Team kubwa na inayo jua mpira inabidi ishinde sehemu yeyote ile.You know nothing about football. Kuna scenarios nyingi umeziacha kwa makusudi. Mechi ya Mbao na Simba, Mbao walikuwa nyumbani na mechi yenu na Mbao wao walikuwa ugenini. Hizo ni mechi za mazingira tofauti kabisa.
Hahaaaa unae jua mpira, bado unafikira za ugenini na nyumbani?
Ungetoa sababu zingine lkn sio hiyo.
Pia punguza hasira au hasira peleka kwa coach wenu
Team kubwa na inayo jua mpira inabidi ishinde sehemu yeyote ile.
Ni kikuuliza ni kitu gani kinacho zuia team ngeni kushinda sijui kama una majibu ya uhakika.
Kuto wafunga mbao CCM kirumba sio kwa sababu tulikuwa ugenini bali tuna kuwa tumezidiwa kimchezo kwa siku hiyo.Ndio maana kukawa na mechi za ugenini na nyumbani, kuna psychological factor kwenye hilo. Sikumbuki ni lini mliwafunga Mbao kwenye uwanja wao wa nyumbani, please do remind me.