Uwanja wa Taifa: Vodacom Premier League VPL, Yanga 1 SC Vs 0 Mbao FC

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hatari sana Swahiba.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ndioo Sesten. Mpaka kieleweke mwaka huu.

Kwani nyie hampanii mkicheza na vitimu vidogo?
Sisi timu zoote pamoja na Yanga yenu zinatupania kwenye mechi tunazocheza nao

Wenyewe tunakua tume relax tunacheza soka la kufundishwa unaloliona kule Spain tu
 
Mie naona kama bado mapema.sana, au wewe unaonaje. Au ligi inaweza sitishwa mapema kwa kukosa udhamini halafu Yanga akatangazwa fasta kuwa bingwa.
NI KWELI JAPO MAPEMA ILA TUMEJIPANGA VILIVYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…