Jesse: Mwalimu kashasha unalizungumziaje goli la Ajibu
Kashasha: Ajibu amepiga dynamic rocket shot yani kabla ya kupiga alimuangalia kipa akamuona yuko off position yeye akalitengeneza goli katika pembe tatu kisha akaitafuta ile nyuzi 60 ya juu kisha akabend na kutanua mikono kama anavyofanya eagle anapotaka kuruka ili kupata full body balance alafu akapiga hyo shot with full gas at his foot inasemekana shuti ilikuwa linasafiri at 200km/s yani hata kama kungekuwa na makipa 3 golini wangefungwa tu na huyu shagalabagala kama angeufikia ule Mpira basi Baada ya kurudi chini Angeweza kupata stroke au heart attack ndio mana aliruka kiushahidi tu kuondoa lawama but all in all this is a PUSKAS goal[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
kwako Jesse