Hahahaaa. Kweli aisee Mtani.Huyo bwana upara ndio engine ya Yanga siku akikosekana ni either mgawane point au mwache point 3 mezani......
Kocha wenu alifanya jambo la maana sana kwenda kumfuta zambia katika kilimo cha mahindi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji106]Sawa tuko pamoja mkuu
Ila niwatakie kila la kheri mkishinda ni tanzania imeshinda leo nawaombea muibuke na ushindi leo nimeamua kuweka utaifa mbele.....Hahahaaa. Kweli aisee Mtani.
Hahahahaa! YakiTupo hata tukipigwa bado tupo
Utaisha tu! Hamfiki popote nyieBado mpira haujaisha
Amiin Mtani. Hapa umeongea kweli tupu yaani.Ila niwatakie kila la kheri mkishinda ni tanzania imeshinda leo nawaombea muibuke na ushindi leo nimeamua kuweka utaifa mbele.....
Naomba kesho utupe support pia mtani...
Kesho sio mbali Mkuu... Tutawaona mnaojifanya mnajua kuchezaHahahahaa! Yaki
Utaisha tu! Hamfiki popote nyie
Haha kesho usije nigeuka maana tukishatupia goal mbili chapu hukawii kutuombea draw mtani.....Amiin Mtani. Hapa umeongea kweli tupu yaani.
Hahahaaa. Mie tena kesho lazima nitajitahidi kuwapa support. [emoji12] [emoji12]
Mwarabu hana lolote huyo..nilimbetia akanichania mkeka mapema SAA moja wakati depotivo anacheza saa tano usiku..mnyama akiloga vizuri(kitu ambacho hutegemea sana) huenda akashinda mojaHaha kesho usije nigeuka maana tukishatupia goal mbili chapu hukawii kutuombea draw mtani.....
Anyway wale waarabu nimepekua matokeo yao wako njema kesho shughuli ipo kwa mnyama kumwangusha yule muarabu....
Usijali Mtani siwezi geuka bana. Nitakuwa na nyie bega kwa bega katika kutanguliza Utaifa.Haha kesho usije nigeuka maana tukishatupia goal mbili chapu hukawii kutuombea draw mtani.....
Anyway wale waarabu nimepekua matokeo yao wako njema kesho shughuli ipo kwa mnyama kumwangusha yule muarabu....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wazee wa frontAminia mzee baba
Wale waarabu wanagonga mpira kinouma naona ni wa 4 kama si 5 katika ligi yao...Usijali Mtani siwezi geuka bana. Nitakuwa na nyie bega kwa bega katika kutanguliza Utaifa.
Ila kazi ipo hiyo kesho.
Huyu Mlima Mahindi Chirwa anafikiria Referee ni Israel Mkongo?
Hivi Hajui Kuwa Hata Ulaya Makipa Wanaeka Taulo na Chupa Za Maji Ndani Ya Goli?