Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

Huyo bwana upara ndio engine ya Yanga siku akikosekana ni either mgawane point au mwache point 3 mezani......

Kocha wenu alifanya jambo la maana sana kwenda kumfuta zambia katika kilimo cha mahindi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaaa. Kweli aisee Mtani.
 
Puppy Kabamba baada Ya Wabotswana Kumuonesha Mpira unavyochezwa Sasa anaamua Kupiga Buti...
 
Ila niwatakie kila la kheri mkishinda ni tanzania imeshinda leo nawaombea muibuke na ushindi leo nimeamua kuweka utaifa mbele.....

Naomba kesho utupe support pia mtani...
Amiin Mtani. Hapa umeongea kweli tupu yaani.

Hahahaaa. Mie tena kesho lazima nitajitahidi kuwapa support. [emoji12] [emoji12]
 
Nikiwa huku nangwanda sijaona! Town ship pigs hao yebo magori 2 nikaonje
 
Amiin Mtani. Hapa umeongea kweli tupu yaani.

Hahahaaa. Mie tena kesho lazima nitajitahidi kuwapa support. [emoji12] [emoji12]
Haha kesho usije nigeuka maana tukishatupia goal mbili chapu hukawii kutuombea draw mtani.....

Anyway wale waarabu nimepekua matokeo yao wako njema kesho shughuli ipo kwa mnyama kumwangusha yule muarabu....
 
Mwarabu hana lolote huyo..nilimbetia akanichania mkeka mapema SAA moja wakati depotivo anacheza saa tano usiku..mnyama akiloga vizuri(kitu ambacho hutegemea sana) huenda akashinda moja
 
Haha kesho usije nigeuka maana tukishatupia goal mbili chapu hukawii kutuombea draw mtani.....

Anyway wale waarabu nimepekua matokeo yao wako njema kesho shughuli ipo kwa mnyama kumwangusha yule muarabu....
Usijali Mtani siwezi geuka bana. Nitakuwa na nyie bega kwa bega katika kutanguliza Utaifa.

Ila kazi ipo hiyo kesho.
 
[HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Hawataki Fair Play wamejianzia wao Moja Kwa Moja
 
Usijali Mtani siwezi geuka bana. Nitakuwa na nyie bega kwa bega katika kutanguliza Utaifa.

Ila kazi ipo hiyo kesho.
Wale waarabu wanagonga mpira kinouma naona ni wa 4 kama si 5 katika ligi yao...

Namba sio ishu hapo tatizo ni kwamba mpira wanagonga wanaweza lazmisha draw huku ila sisi siku tukikanyaga misri wanazivuta sharubu tu kiulani [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ni matokeo mabaya kwetu ila hamna noma ...... zimebaki dakika 17
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kesho waarabu wata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom