Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga zungumzia timu yako achana na MnyamaBongo hakuna Mpira kabisa Kama hawa wawakilishi wetu wa kimataifa wamepigwa namna hii sipati picha kesho Mikia SC watabugia ngapi kutoka kwa waarabu..
Chura FC maji ya moto hawezi mkuu, wenyewe wa kimataifa original wako uwanjani keshoBongo hakuna Mpira kabisa Kama hawa wawakilishi wetu wa kimataifa wamepigwa namna hii sipati picha kesho Mikia SC watabugia ngapi kutoka kwa waarabu..
Naona simba mmefrahi sana leo, mmeahangilia, watukua vizur uwanjan leo yanga, simba mlikua vizuri kiushangiliajiYanga ilinogewa,ikaona kamoko hakatoshi
Mnyama anapiga 2 Masry 1. Quote hiyoAfadhali...kesho ikitokea mnyama akipigwa tutakua tumefanana..eti?
Wakati wa gemu nilikuwa nasapoti Yanga,lakini kwa ujinga walioufanya goli la pili,hapanaNaona simba mmefrahi sana leo, mmeahangilia, watukua vizur uwanjan leo yanga, simba mlikua vizuri kiushangiliaji
Ndo bye bye hivyo acha misemo ya kihengaHatukua vizuri leo tokea game inaanza, wachezaji walikua waziiito, japo mpira unadunda lakin si kiivo
Kweli kabisa Mtani.Kukata tamaa ni mwiko mtani....
Mfano mzuri ni maisha ya sasa chini ya Uncle Magu ukiwa mtu wa kukataa tamaa humalizi hata mwaka [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Bongo hakuna Mpira kabisa Kama hawa wawakilishi wetu wa kimataifa wamepigwa namna hii sipati picha kesho Mikia SC watabugia ngapi kutoka kwa waarabu..
Ulipotea njia mkuu, Yanga kiongozi wao, alishasema mapemaaa, kuwa hataki Simba iwashangilie.Wakati wa gemu nilikuwa nasapoti Yanga,lakini kwa ujinga walioufanya goli la pili,hapana