Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

Hatukua vizuri leo tokea game inaanza, wachezaji walikua waziiito, japo mpira unadunda lakin si kiivo
 
Bongo hakuna Mpira kabisa Kama hawa wawakilishi wetu wa kimataifa wamepigwa namna hii sipati picha kesho Mikia SC watabugia ngapi kutoka kwa waarabu..
 
Mtaa wa Jangwani muda huu....
b08d7f4f8bcb0e6722bf2d5ba67a445c.jpg
 
Dah, japo sijawahi kuishabikia Yanga, lakini nilitegemea ingefanya vyema leo. Matokeo haya yana uhusiano mkubwa na kuongeza morale ya hao waarabu wa Misri.
 
Naona simba mmefrahi sana leo, mmeahangilia, watukua vizur uwanjan leo yanga, simba mlikua vizuri kiushangiliaji
Wakati wa gemu nilikuwa nasapoti Yanga,lakini kwa ujinga walioufanya goli la pili,hapana
 
Bongo hakuna Mpira kabisa Kama hawa wawakilishi wetu wa kimataifa wamepigwa namna hii sipati picha kesho Mikia SC watabugia ngapi kutoka kwa waarabu..

Usishangae Simba ikashinda....Yanga kiukweli haiko vizuri....Makapu ni tatizo...yule sijui Pato Ngonyani hamna kitu pale...Gadiel Michael naye ipo namna ya shida...Buswita ndiyo hivyo tena...Hayo ndiyo matatizo ya madalali...anamleta mchezaji na kupandisha dau...ovyo kabisa...Yanga wajanja wengi...Kessy yupo fiti...na pia Yondani anacheza kwa kujituma..wengine wanangojea mpira uwakute...hawatanui uwanja...mpira ukiwa kwa mwenzake mchezaji mwingine hachukui haraka nafasi ili apasiwe...ovyo kabisa...
 
Wakati wa gemu nilikuwa nasapoti Yanga,lakini kwa ujinga walioufanya goli la pili,hapana
Ulipotea njia mkuu, Yanga kiongozi wao, alishasema mapemaaa, kuwa hataki Simba iwashangilie.
Sambamba na maneno ya Mkemi, kuto taka Simba waishangilie, Basi leo nimefurahii sana kufungwa kwa yanga, maana panya ote leo wametulia,
Maana Simba yuko mjini.
 
Mimi niko EPL, hapa ni kujitafutia sijui, Stroke au Tezi dume kwa stress isiyo na maana.
 
Mimi niko EPL, hapa ni kujitafutia sijui, Stroke au Tezi dume kwa stress isiyo na maana.
 
Nikajua watani watatutoa kimasomaso maana Simba anakutana na Nyanumi mwenye meno makali...
 
Back
Top Bottom