Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Kikosi cha bil 1.3 hahahahahaYaani mko tayari mnunue mechi kuliko kulipa mishahara wachezaji aisee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikosi cha bil 1.3 hahahahahaYaani mko tayari mnunue mechi kuliko kulipa mishahara wachezaji aisee!
Hii Sio Habar Njema Kwa Wenzetu JamanYanga imechukuwa point tatu muhimu. Simba mavi debe.
Mkuu we noma aisee wapiga debe wamechomoa,nisalimie yule mtu anaekimbiaga jukwaa (Sembo)Yanarudi
FT 2-2
Kikosi cha bil 1.3 hahahahaha
mmeanza kuweweseka sasa!! subiri tuwashikishe adabu ndio utajuwa huwa mpira unachezwa kwenye pitch au mdomoni! na ndio utaelewa tofauti ya kuongoza ligi na kuchukuwa ubingwa.Yaani mko tayari mnunue mechi kuliko kulipa mishahara wachezaji. Aisee mnapenda sana madeni
Nawatamani sana nyie mikia,siku iyo mje na spana,bisibisi,koleo ili msipate tabu kuondoa vile viti pale uwanjaniTigo rusha
Ingekua azam ndo anaongoza tungemuacha achukue ubingwa mana tumechoka sasa,makwapa nayo yanauma,tatizo kuna mtu kakalia sehemu za watuYanga sijui kwanini huwa wanajituma sana wakati wanapokaribia mwisho wa ligi.
Yanga sijui kwanini huwa wanajituma sana wakati wanapokaribia mwisho wa ligi.
Amecopy na kupaste.Huu pia nao ni UJINGA. YANGA vs SINGIDA au YANGA vs STAND?
Simba hakuna watu wa hovyo mkuu.Ni shabiki wa Simba huyo
Asante mbumbumbu fcHongera Wazee wa Ndala FC kwa ushindi.
Still you've a journey...!Aya sasa kumekuchaaaa, pooooopoooooo kwenye nyumba twaajaa yaheee, mikia hoi bin taaban
Umeonaeee...lakini ndo washashinda sister... Ubingwa wetu upo mikononi mwao.Yanga wafungwe tu
Bado tutawatimulia vumbi tu.Azam wana game 22 na Ndala game 21 wakati "mabingwa watarajiwa" tuna game 20.Mikia fc kimyaaaaaa