Uwanja wa Taifa: Yanga 3 - 1 Stand united, ligi kuu soka Tanzania bara

Uwanja wa Taifa: Yanga 3 - 1 Stand united, ligi kuu soka Tanzania bara

Yaani mko tayari mnunue mechi kuliko kulipa mishahara wachezaji. Aisee mnapenda sana madeni
mmeanza kuweweseka sasa!! subiri tuwashikishe adabu ndio utajuwa huwa mpira unachezwa kwenye pitch au mdomoni! na ndio utaelewa tofauti ya kuongoza ligi na kuchukuwa ubingwa.
 
Sasa nyie mikia ndo mtaisoma namba kwa mwaka wa 4 sasa, maana tunawaachia nafasi bado mnadelay.. Kidumu chama cha vindoo Young Africans
 
Tunawaachia kwanza nafasi Mikia SC waishikilie kwa mda then tunakamata si wenyewe.
Sipati picha kama tungekuwa tunaanza kugawa doz kisawasawa toka mwanzo wa ligi
Yanga sijui kwanini huwa wanajituma sana wakati wanapokaribia mwisho wa ligi.
 
Hassan kessy,tshishimbi,kamusoko,ngoma,tambwe hawapo lakini timu inapata matokeo,wenzangu wakimkosa yule babu wa uganda au bokoharamu wanaanza kususiana timu wakati mwingine hawasalimiani kabisa.
 
Back
Top Bottom