johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Baraza gani?Azikwe tuvunje Baraza mapema
la mazishiBaraza gani?
Hakika mkuu!Duh! Hata yeye angeona hiki kinachotokea hapa angeogopa! Yaani hata kama kuna mtu alipanga kusherehekea msiba wa huyu mzee, inabidi utafute chochoro au chimbo fulani kufanya hivyo muda huu!
Hakuna baraza la mazishi bwashee!la mazishi
Kwa kweli sio kwa nyomi lile yaani wamewanyima wana daslam haki yao!! Wangekaa 3 days Dar, Znz wasingeenda wangebaki hapa hapa Dar J4 wangeenda Dom.Ili kuwatendea haki wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho...
Baraza gani?
Mkuu hata zikiongezwa siku bado wapo wataorudi na kurudi hapo...