Uwanja wa Uhuru umefurika sana!, watu Washindwa kuaga. Watakiwa kujipanga barabarani kuelekea Uwanja wa ndege ili waweze kupunga mkono

Uwanja wa Uhuru umefurika sana!, watu Washindwa kuaga. Watakiwa kujipanga barabarani kuelekea Uwanja wa ndege ili waweze kupunga mkono

Wengine wanaenda kutazama huo umati
Wengine ni event tu..hawana cha huzuni wala nini...

Busara azikwe mapema yaishe..
Hata tukiombeleza mwezi mzima nothing will change ..
Video clips zinaonesha watu wenye majonzi
 
Ili kuwatendea haki wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho.

Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana.

Maendeleo hayana vyama!
kwa Maoni yangu siku mbili Zaid ziongezwe, hata mkoa wa Mwanza waweke siku mbili, mazishi yawe siku ya JUMAPILI.
Mwanza wageni wanamiminika Sana kwa Sasa kwa ajili ya usalama, kamati ya mazishi iongeze siku ya kumuaga angalau siku mbili kwa jiji la Mwanza. Kwa Dar pekee Kuna watu wametoka mikoa ya jirani, Tanga, Pwan, Lindi, Mtwara n.k. Mwanza itakuwa zaidi ya hapo
 
Nyinyi hamuwajui wabongo, wabongo roho kwatu hapo kuna mijiz, mitapeli, wengine hapo wamekuja kufanya tu zogo na wengine no event tu kuja kushangaa na wengine ni wasanii wanalia kinafik tu apo huu umati si kigezo kwamba he is in people heart
 
Ujue Kwanza huku kukaa mwili siku nyingi hivi ndo kunaongeza majonzi Zaidi
 
Kwa kweli sio kwa nyomi lile yaani wamewanyima wana daslam haki yao!!wangekaa 3 days Dar,Znz wasingeenda wangebaki hapa hapa Dar j4 wangeenda Dom.

Yaani watu wengi sana na vurugu pia zipo
Ni mipango mibovu tu! Wangeweka utaratibu wa kutoruhusu watu kubaki uwanjani. Ukishatoa heshima yako, endelea mbele na kutoka nje, nako endelea na shughuri zako. Yaani uondoke maeneo hayo!
 
Wengine wanaenda kutazama huo umati
Wengine ni event tu..hawana cha huzuni wala nini...

Busara azikwe mapema yaishe..
Hata tukiombeleza mwezi mzima nothing will change ..
Wananchi wameonyesha namna walivyompenda na kumuamini rais wao. Wapewe nafasi hata ya siku moja zaidi. Mtu akae kwenye foleni imeanzia keko na jua ili umpuuze tu useme ni event.
 
Ili kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho.

Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana.

Maendeleo hayana vyama!
Haiwezekani, akapigwa dawa kali kabisa, akawekwa makumbusho? Kwa ukumbusho wa vizazi vijavyo?
 
Wananchi wameonyesha namna walivyompenda na kumuamini rais wao. Wapewe nafasi hata ya siku moja zaidi. Mtu akae kwenye foleni imeanzia keko na jua ili umpuuze tu useme ni event.
Muhimu sana kuheshimu hisia za mtu, sio wote walimchukia na wengi walimpenda huyu mzee
 
Back
Top Bottom