Acheni kurudia rudia, nimekuona mara 3 ukipita kuagaIli kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho.
Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana.
Maendeleo hayana vyama!
Nyie si mlikua mnachagua wapinzani, ageni wapinzani wenu tehUbinafsi huo. Basi aje na huku chuga tumuage
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Hapana dear, tumejirekebisha.. upinzani hauna nafasi tena. Hebu watuletee tumuageNyie si mlikua mnachagua wapinzani, ageni wapinzani wenu teh
Serikali isipochukua hatua za tahadhari, especially wizara ya afya, baada ya msiba huu, corona itamaliza watu.Ili kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho.
Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana.
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1730918
Ili kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho.
Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana.
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1730918
Covid inazidi kusambaa na mikusanyiko ya watu.
Acha porojo. Lete factSerikali isipochukua hatua za tahadhari, especially wizara ya afya, baada ya msiba huu, corona itamaliza watu.
Kuna watu wanapiga hela za mwisho..ni upuuzi mtupu kuzurura na mfu ambae hata hawaoni mkimuagaWengine wanaenda kutazama huo umati
Wengine ni event tu..hawana cha huzuni wala nini...
Busara azikwe mapema yaishe..
Hata tukiombeleza mwezi mzima nothing will change ..
Ni kweli wamzike mapema masuala ya kuutembeza mwili huko na huko si busara...Wengine wanaenda kutazama huo umati
Wengine ni event tu..hawana cha huzuni wala nini...
Busara azikwe mapema yaishe..
Hata tukiombeleza mwezi mzima nothing will change ..