Huo ndy mfano wa safari ya mwisho ya mtu mwema hapa duniani.Ili kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho.
Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana.
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1730918
Wangeonesha watu wasingeenda uwanjani kama hivi[emoji848]Hivi ni kwa nini wachukua picha za video hawachukui sehemu ambayo na sisi tunaoomboleza tukiwa nyumbani tunaweza kuona sura ya Mh. Kwa dakika za mwisho? Au wanakatazwa? Au ndio maadili ya kazi yanawataka hivyo!? Ningetamani waonyeshe kama ilivyokuwaga kwa Hayati Baba Wa Taifa!
Mwanza itakuwa zaidi ya pale, wageni wamejaa kila mahali, ilitakiwa waupe mkoa wa mwz cku mbili.Kuna Wananchi wengine wanaona hawatapata nafasi ya kumuaga hapa Mwanza wametangulia Chato.Ili kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho.
Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana.
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1730918
Kuongeza siku ni jambo moja na kuchukua tahadhari za kiafya ni jambo linginekwa Maoni yangu siku mbili Zaid ziongezwe, hata mkoa wa Mwanza waweke siku mbili, mazishi yawe siku ya JUMAPILI.
Mwanza wageni wanamiminika Sana kwa Sasa kwa ajili ya usalama, kamati ya mazishi iongeze siku ya kumuaga angalau siku mbili kwa jiji la Mwanza. Kwa Dar pekee Kuna watu wametoka mikoa ya jirani, Tanga, Pwan, Lindi, Mtwara n.k. Mwanza itakuwa zaidi ya hapo
bro uchawi haulipi[emoji16][emoji16][emoji16]Wengine wanaenda kutazama huo umati
Wengine ni event tu..hawana cha huzuni wala nini...
Busara azikwe mapema yaishe..
Hata tukiombeleza mwezi mzima nothing will change ..
hata waislam wenyewe hawataki sifa zako hapa,maana wanajua kabisa hazitoki rohoni bali kinafiki.Nawasifu waislamu sana Rais angekuwa muislam na maturubai tungesharudisha.
Hawajajipanga, hata wangeongeza siku sidhani kama zoezi lingeisha. Watu walikua wqnamikinika badoIli kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho.
Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana.
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1730918
Amen.hata waislam wenyewe hawataki sifa zako hapa,maana wanajua kabisa hazitoki rohoni bali kinafiki.
Nasikia kuna madhara yametokea huko, ni kweli?Hawajajipanga, hata wangeongeza siku sidhani kama zoezi lingeisha. Watu walikua wqnamikinika bado