kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Kwahiyo point yako ni ipi? Maana Simba na Yanga wameshakutana wenyewe kwa wenyewe mara mbili ndani ya msimu huu na matokeo yanajulikana. Sasa embu sema nini point yako kwamba Singida sio wabovu au unataka kusema kipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Useless piglet wewe.huna akili ww, na mkicheza vibaya sitashangaa msimu ujao msiweze kuingia hata shirikisho
Halafu tunajisifu tumeua. 🤣🤣🤣💃💃💃💃💃
Hizi zilikua ziwapate vyura
Apia Mtani.Hizi zilikua ziwapate vyura
Nakazia ulichokiandika hao ndio saizi yao. 😎Safi. Hizo ndio size yenu. Hata mfunge 100 no one cares as long as hamuwezi kufunga timu kubwa. Japo mmeshinda nane; hata kesho tukirejea game hamuwezi kutufunga.
Ni vyema mkajifurahisha kwa level hizo.
Hahahahaaaa. Hatimayeee.huna akili ww, na mkicheza vibaya sitashangaa msimu ujao msiweze kuingia hata shirikisho
Haki ya naniApia Mtani.
Mara nyingi timu ndogo zinazikamia timu kubwa, zikikutana zenyewe kwa zenyewe zinalingana nguvu na kucheza katika kiwango Chao cha kawaidaMkuu Sibonike Kama mngetumia nguvu ya March 8 kwa game zote za Vpl, mbona mngekuwa mnaongoza ligi, lakini sasa sijui mnakwama wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
umefurahi eeeh?Hahahahaaaa. Hatimayeee.
Yaani Yanga Sc ni dime LA mbegu, yaani kampiga kimoja jamaa kazaa watoto name? Dah hii ni hatari sanaSafari ya kuelekea kwenye ubingwa wa VPL, inaendelea kwa Mnyama Mkali
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana