Uwapi "wembe wa Mdude uliotumika kumnyoa Mwendazake" ambao Samia Alitishiwa nao majuzi?

Ukiwa barabarani hata kama ni haki yako ukiona kuna dhara linataka kutokea jihami.

Sawa upo kwenye haki lakini utadhurika. Siasa ni sayansi.
Mfano wa barabarani hauendani na kudai katiba. Hivi unadhani kuna siku watakuonea huruma wabadilishe mambo kwa sababu wewe umenyenyekea? Halafu unathubutu kusema siasa ni sayansi! Ungekuwa unaamini siasa ni sayansi ungesema watu wanyenyekee? Taja hata ncho moja ambayo mambo yalibadilika kwa wananchi kunyenyekea kwa viaongozi. Nchi zote unazoziona zenye maendeleo sasa hivi ungesoma historia yao ndiyo ungejua wewe unatwanga maji kwenye kinu.
 
Kwamba kilichojiri Mwanza hakipendezi, ni suala la wazi kwa mtu yeyote anayetaka kuona Tanzania yenye amani na mshikamano.

Hata hivyo, matukio kama haya yanaibua tafakuri ambazo baadhi ya wenzetu wanaweza wasizipende.

Majuzi tulimsikia Mdude akimtahadharisha Mama Samia kuwa "wembe uliotumika kumnyolea Magufuli utatumika kwake (Mama Samia) pia." Hakukuwa na wembe as such bali alimaanisha kuwa endapo "Mama Samia akiwazingua Chadema nao watamzingua."

Well, kwa kilichojiri Mwanza, ni wazi "Mama kawazingua Chadema." Swali ni je, nao wana uwezo wa kumzingua?

Nimeona Mheshimiwa Lissu akiwataka Watanzania kuingia mtaani kutokana na kukamatwa kwa Mbowe na viongozi wenzake. Nadhani Mheshimiwa ameshasahau kuwa alipotoa wito kama huo kuwa watu waingie mtaani Novemba 2 mwaka jana baada ya "uchafuzi wa kihistoria," hata viongozi wenzie hawakujitokeza mtaani.

Lakini hata tukiacha tukio hilo, tangu 1995 hadi 2005, Mkapa aliwazingua Wapinzani lakini hakuna aliyemfanya chochote. Jk nae akarudia 2005 hadi 2015, na hakufanywa chochote, na majuzi Magufuli akafanya aliyotaka kufanya dhidi ya Wapinzani na hakupata resistance yoyote mpaka anaingia kaburini.

Kwahiyo, hata Mama Samia akiamua "kuiga mfano wa watangulizi wake" hakuna wa kumfanya chochote. Sad but true.

Majuzi walipokamatwa akina Lwaitama, ilisubiriwa "huruma ya serikali" kuwatoa rumande. Hakukuwa na jitihada zozote zaidi ya kelele za mtandaoni. Na leo inakatika, same story. "Oh Mama Samia ni dikteta," "Oh atakiona," same empty words.

Ukweli mchungu ni huu, endapo Mama Samia ataamua "kuwazingua wapinzani" hakuna wa kumzuwia. Ukweli huu mchungu unapaswa kuwa sehemu ya mikakati ya upinzani katika kupanga ajenda zao. Kwamba kujimwambafai mitandaoni ilhali likitokea la kutokea watu wanaufyata, ni mkakati fyongo. Kwa kifupi, confrontational politics haziwezi kuuwezesha upinzani kutimiza ajenda zake. Kunahitajika njia mbadala. Hiyo ni mada ya wakati mwingine.

Baadhi yetu tulionya, though, baada ya Mama Samia kutahadharisha kuhusu "chokochoko"

Jasusi uchwara wewe unatafuta huruma ya mama
 
Ni kweli kwamba wanachotegemea CHADEMA ni NGUVUVYA UMMA.. Wakati dola inamiliki Mahakama, wao wanalalia MAHAKAMA YA WANANCHI, wakati Dola ina Polisi, wao wanategemea kushawishi UMMA uwaunge mkono.
Inajulikana pia kwamba watanzania, ama kwa sababu ya walipataje uhuru wao, au tamaduni zao, ni waoga wa kukabiliana na nguvu za Dola, na mamlaka pia. Ni kama kundi la Nyati ambao kwa wingi wao wangeweza kabisa kuwashinda.
Samia kajizingua mwenyewe. Siasa zinahamia mahakamani, ambapo mara nyingi CHADEMA wanashinda.

Kinachotakiwa ni uwepo wa watu ambao wapo tayari kuumia kwa niaba ya wengine, ili mapambano yaendelee, tukisubiri nyasi zikauke, moto ulipuke. Katika historia, haiwezekani kundi la watu likandamize wengine milele. Utafika wakati mabadiliko lazima yatokee. CHADEMA wana jukumu zito sana
 
We mnafiki huna Lolote kachero Fake unabrok watu twitter unakimbilia huku.
Jamaa ni Mshamba sana sijawahi kuona, nadhani ndio maana hata alifukuzwa TISS. Alikuwa akimpinga sana JPM na kujifanya yupo upande wa opposition, baada ya Mama Samia kuwa replaced kila siku yeye anahangaika na CDM kwa kuandika makala fake anaziicha uchambuzi wa kijasusi kumbe ni upuuzi mtupu wenye kujipendekeza zaidi kwa kuwasema vibaya wapinzani. Ukimkosoa kidogo anakimbilia kukublock ili abaki wa wajinga wachache ambao watakubaliana na ujinga wake.
 
Back
Top Bottom