Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Mtatajana tu sheikh wanguMdude ana cheo gani ndani ya Chadema?
Hizi mada nyingine sijui mnafikiria nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtatajana tu sheikh wanguMdude ana cheo gani ndani ya Chadema?
Hizi mada nyingine sijui mnafikiria nini
Ajenda inaowagusa Watanzania wengi kwa sasa ni katiba mpya.Wafanye tafiti wajue ajenda gani itawagusa watanzania wengi kwa uchanya wake
Ni Mjinga tu ndio Ataubeza UpinzaniKwamba kilichojiri Mwanza hakipendezi, ni suala la wazi kwa mtu yeyote anayetaka kuona Tanzania yenye amani na mshikamano.
Hata hivyo, matukio kama haya yanaibua tafakuri ambazo baadhi ya wenzetu wanaweza wasizipende.
Majuzi tulimsikia Mdude akimtahadharisha Mama Samia kuwa "wembe uliotumika kumnyolea Magufuli utatumika kwake (Mama Samia) pia." Hakukuwa na wembe as such bali alimaanisha kuwa endapo "Mama Samia akiwazingua Chadema nao watamzingua."
Well, kwa kilichojiri Mwanza, ni wazi "Mama kawazingua Chadema." Swali ni je, nao wana uwezo wa kumzingua?
Nimeona Mheshimiwa Lissu akiwataka Watanzania kuingia mtaani kutokana na kukamatwa kwa Mbowe na viongozi wenzake. Nadhani Mheshimiwa ameshasahau kuwa alipotoa wito kama huo kuwa watu waingie mtaani Novemba 2 mwaka jana baada ya "uchafuzi wa kihistoria," hata viongozi wenzie hawakujitokeza mtaani.
Lakini hata tukiacha tukio hilo, tangu 1995 hadi 2005, Mkapa aliwazingua Wapinzani lakini hakuna aliyemfanya chochote. Jk nae akarudia 2005 hadi 2015, na hakufanywa chochote, na majuzi Magufuli akafanya aliyotaka kufanya dhidi ya Wapinzani na hakupata resistance yoyote mpaka anaingia kaburini.
Kwahiyo, hata Mama Samia akiamua "kuiga mfano wa watangulizi wake" hakuna wa kumfanya chochote. Sad but true.
Majuzi walipokamatwa akina Lwaitama, ilisubiriwa "huruma ya serikali" kuwatoa rumande. Hakukuwa na jitihada zozote zaidi ya kelele za mtandaoni. Na leo inakatika, same story. "Oh Mama Samia ni dikteta," "Oh atakiona," same empty words.
Ukweli mchungu ni huu, endapo Mama Samia ataamua "kuwazingua wapinzani" hakuna wa kumzuwia. Ukweli huu mchungu unapaswa kuwa sehemu ya mikakati ya upinzani katika kupanga ajenda zao. Kwamba kujimwambafai mitandaoni ilhali likitokea la kutokea watu wanaufyata, ni mkakati fyongo. Kwa kifupi, confrontational politics haziwezi kuuwezesha upinzani kutimiza ajenda zake. Kunahitajika njia mbadala. Hiyo ni mada ya wakati mwingine.
Baadhi yetu tulionya, though, baada ya Mama Samia kutahadharisha kuhusu "chokochoko"
Mkuu,Ukisikia naye kaenda Mzena urudi tena hapa kuuliza tutakupa majibu Mungu hataniwi , yaani Chahali hata hufahamiki unapigania nini , labda ulikuwa unampinga Magufuli tu , sisi tunapigania haki za nchi , ikiwemo Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .
Kwahiyo mdude ni muhuni tu???Niliwahi kusema, iwapo huyo mama ataonyesha yeye ni nani kisa maneno ya huyo Mdude, basi nitadhibitisha kuwa mama ni rais mwenye upeo mdogo kwelikweli. Nilitarajia kuona hatua dhidi ya watu waliojiunganishia bomba la mafuta, lakini unaona jeshi lote la polisi likifanya ubabe wa kijinga kisa rais hataki kuonekana dhaifu kwa maneno ya kina mdude. Kwahiyo rais anaonyesha uimara wake kwa maneno ya wahuni waliobambikiwa kesi.
Anatafuta njia na namna ya kurudi nyumbani huyo!Chahali una akili ndogo sana, unalinganisha kati ya mvunja sheria mwenye madaraka na polisi upande wake, dhidi ya anaetii sheria, asie na madaraka wala polisi, ila mwenye kauli tu?
Umepitwa na wakati.
Samia ni dikteta kwa sababu hafuati sheria, kutumia kigezo cha kuwafutia kina Mbowe kesi ndio u-justify Samia sio dikteta ni ufinyu wa kufikiri, hii nchi inaendeshwa kwa sheria sio hisani.
Kwa mtazamo wako mtu kupata haki ni hisani .kama tumefika hapo basi ni shida sanaHawa jamaa labda ndo wamezea vya kunyonga ..vya kuchinja hawawezi..
Wengi mno tuliwa onya kuwa
'confrontational politics' hazitawwsaidia kabisa..
Imagine mtu kama Mbowe anaweza kweli kusema Samia dikteta?Samia kasimamia wafutiwe kesi hadi kurusishiwa hela?
Kamtoa Mdude na bado Mdude mibangi kamtukana?
This time wananchi wengi hawana time kabisa na siasa uchwara za kulazimisha migogoro hata kama haipo..
Mbowe kaenda kuiga hadi mavazi ya EFF hadi aibu kabisa
Yani watu kuonewa kwako ni furaha .Niki punguza mihemuko Bado safari ni ndefu Sana.Naichukia chadema na nafurahi walivyokamatwa mwanza na nafurahi bandiko lako ILA wewe jamaa ni Kati ya watu wajinga ambao mmavuta oxygen ya bure tu
Duniani hakuna mtu ambae haigi hata MAENDELEO tuliyonayo tumeiga kwa Wazungu hivo kuiga kitu sio kosa.Shida kubw inayoikumba chadema kwa sasa ni mipango yao mibovu wameiga mavazi ya EFF wameshindwa kuiga mfumo wao .
Wao wameshika ajenda isiyokuwa na nguvu kwa Watanzania KATIBA .
Watafute ajenda zenye tija
Kwamba kilichojiri Mwanza hakipendezi, ni suala la wazi kwa mtu yeyote anayetaka kuona Tanzania yenye amani na mshikamano.
Hata hivyo, matukio kama haya yanaibua tafakuri ambazo baadhi ya wenzetu wanaweza wasizipende.
Majuzi tulimsikia Mdude akimtahadharisha Mama Samia kuwa "wembe uliotumika kumnyolea Magufuli utatumika kwake (Mama Samia) pia." Hakukuwa na wembe as such bali alimaanisha kuwa endapo "Mama Samia akiwazingua Chadema nao watamzingua."
Well, kwa kilichojiri Mwanza, ni wazi "Mama kawazingua Chadema." Swali ni je, nao wana uwezo wa kumzingua?
Nimeona Mheshimiwa Lissu akiwataka Watanzania kuingia mtaani kutokana na kukamatwa kwa Mbowe na viongozi wenzake. Nadhani Mheshimiwa ameshasahau kuwa alipotoa wito kama huo kuwa watu waingie mtaani Novemba 2 mwaka jana baada ya "uchafuzi wa kihistoria," hata viongozi wenzie hawakujitokeza mtaani.
Lakini hata tukiacha tukio hilo, tangu 1995 hadi 2005, Mkapa aliwazingua Wapinzani lakini hakuna aliyemfanya chochote. Jk nae akarudia 2005 hadi 2015, na hakufanywa chochote, na majuzi Magufuli akafanya aliyotaka kufanya dhidi ya Wapinzani na hakupata resistance yoyote mpaka anaingia kaburini.
Kwahiyo, hata Mama Samia akiamua "kuiga mfano wa watangulizi wake" hakuna wa kumfanya chochote. Sad but true.
Majuzi walipokamatwa akina Lwaitama, ilisubiriwa "huruma ya serikali" kuwatoa rumande. Hakukuwa na jitihada zozote zaidi ya kelele za mtandaoni. Na leo inakatika, same story. "Oh Mama Samia ni dikteta," "Oh atakiona," same empty words.
Ukweli mchungu ni huu, endapo Mama Samia ataamua "kuwazingua wapinzani" hakuna wa kumzuwia. Ukweli huu mchungu unapaswa kuwa sehemu ya mikakati ya upinzani katika kupanga ajenda zao. Kwamba kujimwambafai mitandaoni ilhali likitokea la kutokea watu wanaufyata, ni mkakati fyongo. Kwa kifupi, confrontational politics haziwezi kuuwezesha upinzani kutimiza ajenda zake. Kunahitajika njia mbadala. Hiyo ni mada ya wakati mwingine.
Baadhi yetu tulionya, though, baada ya Mama Samia kutahadharisha kuhusu "chokochoko"
Mbowe ana elimu kubwa tu hauko sahihi tafuta CV yake uione .Umesahau kuwa Mbowe hana kisomo ? Binafsi sikuwa najua Mbowe ni mjinga kiasi hiki. ,mama kahitahidi mno kuwapa polotical space ,wao wakamuu kufanya tofauti ,inatia kinyaaaa kwa kweli ,kwa wale amabao sia wachanga humu nawapeni jina la mtu mjinga kama mbowe ni huwa anaitwa TONDO ,wanajamvi kuanzia leo naombeni kabisa hili jina linamfaa Mbowe
Tubaki na chama kimoja tu ila tusisikie kelele huu ya tozo na kodi za mafutaHawa jamaa labda ndo wamezea vya kunyonga ..vya kuchinja hawawezi..
Wengi mno tuliwa onya kuwa
'confrontational politics' hazitawwsaidia kabisa..
Imagine mtu kama Mbowe anaweza kweli kusema Samia dikteta?Samia kasimamia wafutiwe kesi hadi kurusishiwa hela?
Kamtoa Mdude na bado Mdude mibangi kamtukana?
This time wananchi wengi hawana time kabisa na siasa uchwara za kulazimisha migogoro hata kama haipo..
Mbowe kaenda kuiga hadi mavazi ya EFF hadi aibu kabisa
Mbowe anawaiga vijana kina Malema aibu sana.Hawa jamaa labda ndo wamezea vya kunyonga ..vya kuchinja hawawezi..
Wengi mno tuliwa onya kuwa
'confrontational politics' hazitawwsaidia kabisa..
Imagine mtu kama Mbowe anaweza kweli kusema Samia dikteta?Samia kasimamia wafutiwe kesi hadi kurusishiwa hela?
Kamtoa Mdude na bado Mdude mibangi kamtukana?
This time wananchi wengi hawana time kabisa na siasa uchwara za kulazimisha migogoro hata kama haipo..
Mbowe kaenda kuiga hadi mavazi ya EFF hadi aibu kabisa
Hahahaha 😂😂😆😂Hawa jamaa labda ndo wamezea vya kunyonga ..vya kuchinja hawawezi..
Wengi mno tuliwa onya kuwa
'confrontational politics' hazitawwsaidia kabisa..
Imagine mtu kama Mbowe anaweza kweli kusema Samia dikteta?Samia kasimamia wafutiwe kesi hadi kurusishiwa hela?
Kamtoa Mdude na bado Mdude mibangi kamtukana?
This time wananchi wengi hawana time kabisa na siasa uchwara za kulazimisha migogoro hata kama haipo..
Mbowe kaenda kuiga hadi mavazi ya EFF hadi aibu kabisa
Kuna chama au taasisi isiyo na wahuni?Kwahiyo mdude ni muhuni tu???
Mwaka jana hakukuwa na uchaguzi, kulikuwa na unyang'anyi.Hizo confrontational politics zimewapa viti vingapi vya ubunge mwaka jana ?
Au matokeo ya hizo confrontational politics na yenyewe yanategemea huruma na hisani ya CCM ?
Wakati makengeza mbowe ametanguliza misukule yake kwenda Mwanza kqenye sherehe za Uhuru kutafuta maridhiano, ilikuwa ni mikakati ya hizo confrontational politics Meku ???
Mkishavuta bangi mkashushia na mbege iliyochacha mnadhani Mungu ni kaka yake makengeza mbowe na yupo kwaajili ya kuwasikiliza ninyi tu.Mwaka jana hakukuwa na uchaguzi, kulikuwa na unyang'anyi.
Ndiyo maana Mungu akachukia. Divine intervention ikashuka Tanzania mwezi March 2021.
Unyang'anyi ukiendelea, divine intervention is always there - jiandaeni tu. Mungu hawezi kukubali watu wake wateseke miaka 60 baada ya kujitawala. NEVER!
Wachague moja tu - kutenda haki au la divine intervention inawahusu. Hilo halina ubishi!Mkishavuta bangi mkashushia na mbege iliyochacha mnadhani Mungu ni kaka yake makengeza mbowe na yupo kwaajili ya kuwasikiliza ninyi tu.
Kwahiyo sasa hivi hiyo Divine intervention imeshuka Chaggadomo na kwenye familia ya mbowe. Inawapukutusha balaa kina Baregu, kaka Mbowe, Karugendo nk
Laana ya kumuua Chacha Wangwe imeanza kuwatafuna