City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
ha ha ha!Ningemshangaa sana Kinana kama angekulipa zile pesa zako za kumpigia kampeni Marehemu Pombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha!Ningemshangaa sana Kinana kama angekulipa zile pesa zako za kumpigia kampeni Marehemu Pombe.
A bundle of words but meaning nothing.For your information, ni confrontational politics ndizo zilizowainua kisiasa kina Maalim Seif, Slaa, Zitto, nk.
In fact ndizo ziliifanya CUF ya wakati ule iwe chama chenye nguvu sana. Ndizo baadaye ziliifanya Chadema ku take over kwa CUF na kuwa chama kikuu cha upinzani. Ndizo zinakifanya Chadema kiendelee kuwa chama kikuu cha upinzani hadi leo na kuonekana ni mwiba mkali kwa CCM.
So, hii ina maana any other approach (including ass-kissing like what ACT is currently doing) can never work against CCM.
It's now a question of when rather than if CCM will be doomed. CCM si chama tena - ni dola iliyojificha nyuma ya rangi za kijani na njano. Ni muunganiko wa mashaka uliojikita zaidi katika maslahi ya makundi yanayosigana na kulana yenyewe - kwa kujua au kutokujua. That's a recipe for doom. It hinges on political unsustainability and soon cracks will start (if they haven't started already) appearing thin and fast.
Needless to mention the fact that the government is currently broke and economically vulnerable. This harassment against the opposition just makes it worse because the FDIs are going to continue dwindling big time. And you know what? The wananchi will start feeling the pinch and that will be the beginning of the end of CCM!
Pin this post.
Hatari sana!For your information, ni confrontational politics ndizo zilizowainua kisiasa kina Maalim Seif, Slaa, Zitto, nk.
In fact ndizo ziliifanya CUF ya wakati ule iwe chama chenye nguvu sana. Ndizo baadaye ziliifanya Chadema ku take over kwa CUF na kuwa chama kikuu cha upinzani. Ndizo zinakifanya Chadema kiendelee kuwa chama kikuu cha upinzani hadi leo na kuonekana ni mwiba mkali kwa CCM.
So, hii ina maana any other approach (including ass-kissing like what ACT is currently doing) can never work against CCM.
It's now a question of when rather than if CCM will be doomed. CCM si chama tena - ni dola iliyojificha nyuma ya rangi za kijani na njano. Ni muunganiko wa mashaka uliojikita zaidi katika maslahi ya makundi yanayosigana na kulana yenyewe - kwa kujua au kutokujua. That's a recipe for doom. It hinges on political unsustainability and soon cracks will start (if they haven't started already) appearing thin and fast.
Needless to mention the fact that the government is currently broke and economically vulnerable. This harassment against the opposition just makes it worse because the FDIs are going to continue dwindling big time. And you know what? The wananchi will start feeling the pinch and that will be the beginning of the end of CCM!
Pin this post.
Kwamba kilichojiri Mwanza hakipendezi, ni suala la wazi kwa mtu yeyote anayetaka kuona Tanzania yenye amani na mshikamano.
Hata hivyo, matukio kama haya yanaibua tafakuri ambazo baadhi ya wenzetu wanaweza wasizipende.
Majuzi tulimsikia Mdude akimtahadharisha Mama Samia kuwa "wembe uliotumika kumnyolea Magufuli utatumika kwake (Mama Samia) pia." Hakukuwa na wembe as such bali alimaanisha kuwa endapo "Mama Samia akiwazingua Chadema nao watamzingua."
Well, kwa kilichojiri Mwanza, ni wazi "Mama kawazingua Chadema." Swali ni je, nao wana uwezo wa kumzingua?
Nimeona Mheshimiwa Lissu akiwataka Watanzania kuingia mtaani kutokana na kukamatwa kwa Mbowe na viongozi wenzake. Nadhani Mheshimiwa ameshasahau kuwa alipotoa wito kama huo kuwa watu waingie mtaani Novemba 2 mwaka jana baada ya "uchafuzi wa kihistoria," hata viongozi wenzie hawakujitokeza mtaani.
Lakini hata tukiacha tukio hilo, tangu 1995 hadi 2005, Mkapa aliwazingua Wapinzani lakini hakuna aliyemfanya chochote. Jk nae akarudia 2005 hadi 2015, na hakufanywa chochote, na majuzi Magufuli akafanya aliyotaka kufanya dhidi ya Wapinzani na hakupata resistance yoyote mpaka anaingia kaburini.
Kwahiyo, hata Mama Samia akiamua "kuiga mfano wa watangulizi wake" hakuna wa kumfanya chochote. Sad but true.
Majuzi walipokamatwa akina Lwaitama, ilisubiriwa "huruma ya serikali" kuwatoa rumande. Hakukuwa na jitihada zozote zaidi ya kelele za mtandaoni. Na leo inakatika, same story. "Oh Mama Samia ni dikteta," "Oh atakiona," same empty words.
Ukweli mchungu ni huu, endapo Mama Samia ataamua "kuwazingua wapinzani" hakuna wa kumzuwia. Ukweli huu mchungu unapaswa kuwa sehemu ya mikakati ya upinzani katika kupanga ajenda zao. Kwamba kujimwambafai mitandaoni ilhali likitokea la kutokea watu wanaufyata, ni mkakati fyongo. Kwa kifupi, confrontational politics haziwezi kuuwezesha upinzani kutimiza ajenda zake. Kunahitajika njia mbadala. Hiyo ni mada ya wakati mwingine.
Baadhi yetu tulionya, though, baada ya Mama Samia kutahadharisha kuhusu "chokochoko"
Unaandamana?Hapa penyewe niko road, na kila siku niko road.
Haa ha ha ha ha ha .Hivi na wewe uliingia mkenge wa kukubali kudnganyika kuwa mama Samia ataibadilisha nchi? Kwa huu mfumo hata aingie Tundu Lissu kuwa rais, asipofanya overhaul ya system nzima hakuna atakachofanya. Mfumo tulionao unamfanya rais asiweze kuongoza vizuri, afanye makosa mengi. Samia alipokosea ni kusema tusubiri kwanza kubadilisha mfumo. Hii ina maana anataka kutawala miaka yake kumi kwa hii system ya urais-ufalme akidhani kuwa atashindwa kuibadilisha nchi kama atakubali katiba yenye kumnyang'anya ''umungu'' alionao. Hili ni kosa kubwa sana anafanya. Angekubali watu waanze mijadala sasa hivi ili ukifika wakati wa kuandika katiba mambo yawe mezani na siyo tena kuanza mijadala. The sooner the better.
Acha ubashiri, unaishi na majini hadi utake kuelewe alichokuwa akikimaanisha Mdude??Kuweza kukusaidia tu, maana ya 'wembe uliomnyoa Magufuli', kimantiki ni harakati zile zile cha Chadema za kupinga na kuikosoa serikali ya CCM bila kuchoka wala kuogopa hata kama wanateswa, kuonewa, kudhulumiwa, kutishwa, kununuliwa, kufungwa, kupotezwa na kuuwawa. Yaani hakuna kukoma. Na Chadema walisimama imara kipindi chote cha utawala wa Magufuli, wakimnyima usingizi hata alipokuwa amefariki dunia na watanzania kufichwa habari zake. Chadema hawakuionea huruma wala aibu maiti y
Umemaliza. Asante sana.Hili ni moja ya andiko bovu zaidi kuletwa hapa JF na member wa level kama yako. Ngoja nikuonyeshe utoto wa andiko lako kimantiki.
Kwanza ulipaswa kuhoji kuhusu Mdude alikuwa anamaanisha nini kuhusu 'wembe uliomnyoa Magufuli', halafu ukishapewa maana yenye kujenga uhalisia ndio uje uhoji ni vipi 'wembe huo huo utawezaje kumnyoa mama Samia'?
Kuweza kukusaidia tu, maana ya 'wembe uliomnyoa Magufuli', kimantiki ni harakati zile zile cha Chadema za kupinga na kuikosoa serikali ya CCM bila kuchoka wala kuogopa hata kama wanateswa, kuonewa, kudhulumiwa, kutishwa, kununuliwa, kufungwa, kupotezwa na kuuwawa. Yaani hakuna kukoma. Na Chadema walisimama imara kipindi chote cha utawala wa Magufuli, wakimnyima usingizi hata alipokuwa amefariki dunia na watanzania kufichwa habari zake. Chadema hawakuionea huruma wala aibu maiti ya Magufuli.
Mwisho ninapenda kukupa angalizo tu, anachokifanya sasa mama Samia dhidi ya Chadema na wanaharakati sio kitu kizuri na sio chema, ulipaswa kukipinga kwa namna yoyote ile, kujifanya mnafiki na kuibeza Chadema hakutakufanya wewe kuwa salama mbele ya mama Samia, ipo siku ubaya huu huu utakukuta kwa kuwa shetani hana rafiki wa kudumu. Nadhani hukujifunza kwa yale ya Magufuli, mwanzoni uliona ni fahari kumshangilia Magufuli kipropaganda lakini mabaya yalipokufuata ulipo nawe ukageuka na kumpinga Magufuli.
Muda ni mwalimu mzuri.
Ulivyo mbumbumbu unasahau kuwa Makamu Mwenyekt wa Chama chetu bw Lissu kakimbia nchi,Takataka kabisa kama wewe ni kachero kwanini umekimbia nchi?
Pumbavu
Umekariri kuwa siku zote Ni jumapili.Kwamba kilichojiri Mwanza hakipendezi, ni suala la wazi kwa mtu yeyote anayetaka kuona Tanzania yenye amani na mshikamano.
Hata hivyo, matukio kama haya yanaibua tafakuri ambazo baadhi ya wenzetu wanaweza wasizipende.
Majuzi tulimsikia Mdude akimtahadharisha Mama Samia kuwa "wembe uliotumika kumnyolea Magufuli utatumika kwake (Mama Samia) pia." Hakukuwa na wembe as such bali alimaanisha kuwa endapo "Mama Samia akiwazingua Chadema nao watamzingua."
Well, kwa kilichojiri Mwanza, ni wazi "Mama kawazingua Chadema." Swali ni je, nao wana uwezo wa kumzingua?
Nimeona Mheshimiwa Lissu akiwataka Watanzania kuingia mtaani kutokana na kukamatwa kwa Mbowe na viongozi wenzake. Nadhani Mheshimiwa ameshasahau kuwa alipotoa wito kama huo kuwa watu waingie mtaani Novemba 2 mwaka jana baada ya "uchafuzi wa kihistoria," hata viongozi wenzie hawakujitokeza mtaani.
Lakini hata tukiacha tukio hilo, tangu 1995 hadi 2005, Mkapa aliwazingua Wapinzani lakini hakuna aliyemfanya chochote. Jk nae akarudia 2005 hadi 2015, na hakufanywa chochote, na majuzi Magufuli akafanya aliyotaka kufanya dhidi ya Wapinzani na hakupata resistance yoyote mpaka anaingia kaburini.
Kwahiyo, hata Mama Samia akiamua "kuiga mfano wa watangulizi wake" hakuna wa kumfanya chochote. Sad but true.
Majuzi walipokamatwa akina Lwaitama, ilisubiriwa "huruma ya serikali" kuwatoa rumande. Hakukuwa na jitihada zozote zaidi ya kelele za mtandaoni. Na leo inakatika, same story. "Oh Mama Samia ni dikteta," "Oh atakiona," same empty words.
Ukweli mchungu ni huu, endapo Mama Samia ataamua "kuwazingua wapinzani" hakuna wa kumzuwia. Ukweli huu mchungu unapaswa kuwa sehemu ya mikakati ya upinzani katika kupanga ajenda zao. Kwamba kujimwambafai mitandaoni ilhali likitokea la kutokea watu wanaufyata, ni mkakati fyongo. Kwa kifupi, confrontational politics haziwezi kuuwezesha upinzani kutimiza ajenda zake. Kunahitajika njia mbadala. Hiyo ni mada ya wakati mwingine.
Baadhi yetu tulionya, though, baada ya Mama Samia kutahadharisha kuhusu "chokochoko"
Hahahahaha eti mpigania uhuru walitegemea wampige mkwara amir jeshi kisha akae kimya wamebaki kulia lia tu.Hawa jamaa labda ndo wamezea vya kunyonga ..vya kuchinja hawawezi..
Wengi mno tuliwa onya kuwa
'confrontational politics' hazitawwsaidia kabisa..
Imagine mtu kama Mbowe anaweza kweli kusema Samia dikteta?Samia kasimamia wafutiwe kesi hadi kurusishiwa hela?
Kamtoa Mdude na bado Mdude mibangi kamtukana?
This time wananchi wengi hawana time kabisa na siasa uchwara za kulazimisha migogoro hata kama haipo..
Mbowe kaenda kuiga hadi mavazi ya EFF hadi aibu kabisa
Chama chochote kinapokuja na Ajenda lazima iwe na faida kwao kuliko hasara hasa kwa kupata ushawishi toka katika jamii.Hio katiba kwa akili zako unazani ni kwa Faida ya Mbowe? Nazani ndivyo unavyo wadanganya ndugu zako
Wafanye tafiti wajue ajenda gani itawagusa watanzania wengi kwa uchanya wakeKama ajenda gani kwa mfano?!
Nadhani hilo nao wanalijua na probably wamelitafakari lakini options ndiyo tatizo linalowakabili, Mbowe ametanguliza sana siasa za kistaarabu kwa kutegemea kwamba dialogs zitaleta matokeo na ndicho kinachomkwamisha. Chama chao cha CHADEMA I think it's about time wawe na mwenyekiti hardcore na viongozi wengi wa ngazi za juu pia wawe makauzu na walio tayari kwa lolote hiyo itawatia morari hata wafuasi wao.Kwamba kilichojiri Mwanza hakipendezi, ni suala la wazi kwa mtu yeyote anayetaka kuona Tanzania yenye amani na mshikamano.
Hata hivyo, matukio kama haya yanaibua tafakuri ambazo baadhi ya wenzetu wanaweza wasizipende.
Majuzi tulimsikia Mdude akimtahadharisha Mama Samia kuwa "wembe uliotumika kumnyolea Magufuli utatumika kwake (Mama Samia) pia." Hakukuwa na wembe as such bali alimaanisha kuwa endapo "Mama Samia akiwazingua Chadema nao watamzingua."
Well, kwa kilichojiri Mwanza, ni wazi "Mama kawazingua Chadema." Swali ni je, nao wana uwezo wa kumzingua?
Nimeona Mheshimiwa Lissu akiwataka Watanzania kuingia mtaani kutokana na kukamatwa kwa Mbowe na viongozi wenzake. Nadhani Mheshimiwa ameshasahau kuwa alipotoa wito kama huo kuwa watu waingie mtaani Novemba 2 mwaka jana baada ya "uchafuzi wa kihistoria," hata viongozi wenzie hawakujitokeza mtaani.
Lakini hata tukiacha tukio hilo, tangu 1995 hadi 2005, Mkapa aliwazingua Wapinzani lakini hakuna aliyemfanya chochote. Jk nae akarudia 2005 hadi 2015, na hakufanywa chochote, na majuzi Magufuli akafanya aliyotaka kufanya dhidi ya Wapinzani na hakupata resistance yoyote mpaka anaingia kaburini.
Kwahiyo, hata Mama Samia akiamua "kuiga mfano wa watangulizi wake" hakuna wa kumfanya chochote. Sad but true.
Majuzi walipokamatwa akina Lwaitama, ilisubiriwa "huruma ya serikali" kuwatoa rumande. Hakukuwa na jitihada zozote zaidi ya kelele za mtandaoni. Na leo inakatika, same story. "Oh Mama Samia ni dikteta," "Oh atakiona," same empty words.
Ukweli mchungu ni huu, endapo Mama Samia ataamua "kuwazingua wapinzani" hakuna wa kumzuwia. Ukweli huu mchungu unapaswa kuwa sehemu ya mikakati ya upinzani katika kupanga ajenda zao. Kwamba kujimwambafai mitandaoni ilhali likitokea la kutokea watu wanaufyata, ni mkakati fyongo. Kwa kifupi, confrontational politics haziwezi kuuwezesha upinzani kutimiza ajenda zake. Kunahitajika njia mbadala. Hiyo ni mada ya wakati mwingine.
Baadhi yetu tulionya, though, baada ya Mama Samia kutahadharisha kuhusu "chokochoko"
Hizo confrontational politics zimewapa viti vingapi vya ubunge mwaka jana ?For your information, ni confrontational politics ndizo zilizowainua kisiasa kina Maalim Seif, Slaa, Zitto, nk.
In fact ndizo ziliifanya CUF ya wakati ule iwe chama chenye nguvu sana. Ndizo baadaye ziliifanya Chadema ku take over kwa CUF na kuwa chama kikuu cha upinzani. Ndizo zinakifanya Chadema kiendelee kuwa chama kikuu cha upinzani hadi leo na kuonekana ni mwiba mkali kwa CCM.
So, hii ina maana any other approach (including ass-kissing like what ACT is currently doing) can never work against CCM.
It's now a question of when rather than if CCM will be doomed. CCM si chama tena - ni dola iliyojificha nyuma ya rangi za kijani na njano. Ni muunganiko wa mashaka uliojikita zaidi katika maslahi ya makundi yanayosigana na kulana yenyewe - kwa kujua au kutokujua. That's a recipe for doom. It hinges on political unsustainability and soon cracks will start (if they haven't started already) appearing thin and fast.
Needless to mention the fact that the government is currently broke and economically vulnerable. This harassment against the opposition just makes it worse because the FDIs are going to continue dwindling big time. And you know what? The wananchi will start feeling the pinch and that will be the beginning of the end of CCM!
Pin this post.
Wewe ndiyo unatia kinyaa, eti 'mama' kajitahidi kuwapa political space. Hiyo political space inatoka kwa hisani ya huyo kigagula au ni haki iliyopo kwenye katiba?Umesahau kuwa Mbowe hana kisomo ? Binafsi sikuwa najua Mbowe ni mjinga kiasi hiki. ,mama kahitahidi mno kuwapa polotical space ,wao wakamuu kufanya tofauti ,inatia kinyaaaa kwa kweli ,kwa wale amabao sia wachanga humu nawapeni jina la mtu mjinga kama mbowe ni huwa anaitwa TONDO ,wanajamvi kuanzia leo naombeni kabisa hili jina linamfaa Mbowe
Kama hamtaki sasa fanyeni mnayotakaHayo ndio hatutaki. Kwanini watu wapate haki kwa kuonewa huruma?
Abinafsi naona amezungumza ukweliTakataka kabisa kama wewe ni kachero kwanini umekimbia nchi?
Pumbavu