Magufuli akafanya aliyotaka kufanya dhidi ya Wapinzani na hakupata resistance yoyote mpaka anaingia kaburini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli akafanya aliyotaka kufanya dhidi ya Wapinzani na hakupata resistance yoyote mpaka anaingia kaburini.
Kwamba kilichojiri Mwanza hakipendezi, ni suala la wazi kwa mtu yeyote anayetaka kuona Tanzania yenye amani na mshikamano.
Hata hivyo, matukio kama haya yanaibua tafakuri ambazo baadhi ya wenzetu wanaweza wasizipende.
Majuzi tulimsikia Mdude akimtahadharisha Mama Samia kuwa "wembe uliotumika kumnyolea Magufuli utatumika kwake (Mama Samia) pia." Hakukuwa na wembe as such bali alimaanisha kuwa endapo "Mama Samia akiwazingua Chadema nao watamzingua."
Well, kwa kilichojiri Mwanza, ni wazi "Mama kawazingua Chadema." Swali ni je, nao wana uwezo wa kumzingua?
Nimeona Mheshimiwa Lissu akiwataka Watanzania kuingia mtaani kutokana na kukamatwa kwa Mbowe na viongozi wenzake. Nadhani Mheshimiwa ameshasahau kuwa alipotoa wito kama huo kuwa watu waingie mtaani Novemba 2 mwaka jana baada ya "uchafuzi wa kihistoria," hata viongozi wenzie hawakujitokeza mtaani.
Lakini hata tukiacha tukio hilo, tangu 1995 hadi 2005, Mkapa aliwazingua Wapinzani lakini hakuna aliyemfanya chochote. Jk nae akarudia 2005 hadi 2015, na hakufanywa chochote, na majuzi Magufuli akafanya aliyotaka kufanya dhidi ya Wapinzani na hakupata resistance yoyote mpaka anaingia kaburini.
Kwahiyo, hata Mama Samia akiamua "kuiga mfano wa watangulizi wake" hakuna wa kumfanya chochote. Sad but true.
Majuzi walipokamatwa akina Lwaitama, ilisubiriwa "huruma ya serikali" kuwatoa rumande. Hakukuwa na jitihada zozote zaidi ya kelele za mtandaoni. Na leo inakatika, same story. "Oh Mama Samia ni dikteta," "Oh atakiona," same empty words.
Ukweli mchungu ni huu, endapo Mama Samia ataamua "kuwazingua wapinzani" hakuna wa kumzuwia. Ukweli huu mchungu unapaswa kuwa sehemu ya mikakati ya upinzani katika kupanga ajenda zao. Kwamba kujimwambafai mitandaoni ilhali likitokea la kutokea watu wanaufyata, ni mkakati fyongo. Kwa kifupi, confrontational politics haziwezi kuuwezesha upinzani kutimiza ajenda zake. Kunahitajika njia mbadala. Hiyo ni mada ya wakati mwingine.
Baadhi yetu tulionya, though, baada ya Mama Samia kutahadharisha kuhusu "chokochoko"
Punguza hasira boss...'take it easy'.Mada ya kipumbavu kama hiyo nani atachangia upumbavu changieni nyie wapuuzi
Hata CCM wameiga mavazi ya ANC na wakatuletea wimbo wabTaifa unaofanana na ule wa South Africa na Zimbabwe Hadi rangi za bendera.Hawa jamaa labda ndo wamezea vya kunyonga ..vya kuchinja hawawezi..
Wengi mno tuliwa onya kuwa
'confrontational politics' hazitawwsaidia kabisa..
Imagine mtu kama Mbowe anaweza kweli kusema Samia dikteta?Samia kasimamia wafutiwe kesi hadi kurusishiwa hela?
Kamtoa Mdude na bado Mdude mibangi kamtukana?
This time wananchi wengi hawana time kabisa na siasa uchwara za kulazimisha migogoro hata kama haipo..
Mbowe kaenda kuiga hadi mavazi ya EFF hadi aibu kabisa
Yeye Mwenyewe hataki kukosolewa.We mnafiki huna Lolote kachero Fake unabrok watu twitter unakimbilia huku.
Lisu kawambia ingieni mitaani mbona hamuendi?Akili za kushikiwa Mkuu mradi naye kaandika kitu dhidi ya Chadema hata kama ni cha kipuuzi.
Hawa jamaa labda ndo wamezea vya kunyonga ..vya kuchinja hawawezi..
Wengi mno tuliwa onya kuwa
'confrontational politics' hazitawwsaidia kabisa..
Imagine mtu kama Mbowe anaweza kweli kusema Samia dikteta?Samia kasimamia wafutiwe kesi hadi kurusishiwa hela?
Kamtoa Mdude na bado Mdude mibangi kamtukana?
This time wananchi wengi hawana time kabisa na siasa uchwara za kulazimisha migogoro hata kama haipo..
Mbowe kaenda kuiga hadi mavazi ya EFF hadi aibu kabisa
Hivi na wewe uliingia mkenge wa kukubali kudnganyika kuwa mama Samia ataibadilisha nchi? Kwa huu mfumo hata aingie Tundu Lissu kuwa rais, asipofanya overhaul ya system nzima hakuna atakachofanya. Mfumo tulionao unamfanya rais asiweze kuongoza vizuri, afanye makosa mengi. Samia alipokosea ni kusema tusubiri kwanza kubadilisha mfumo. Hii ina maana anataka kutawala miaka yake kumi kwa hii system ya urais-ufalme akidhani kuwa atashindwa kuibadilisha nchi kama atakubali katiba yenye kumnyang'anya ''umungu'' alionao. Hili ni kosa kubwa sana anafanya. Angekubali watu waanze mijadala sasa hivi ili ukifika wakati wa kuandika katiba mambo yawe mezani na siyo tena kuanza mijadala. The sooner the better.Hawa jamaa labda ndo wamezea vya kunyonga ..vya kuchinja hawawezi..
Wengi mno tuliwa onya kuwa
'confrontational politics' hazitawwsaidia kabisa..
Imagine mtu kama Mbowe anaweza kweli kusema Samia dikteta?Samia kasimamia wafutiwe kesi hadi kurusishiwa hela?
Kamtoa Mdude na bado Mdude mibangi kamtukana?
This time wananchi wengi hawana time kabisa na siasa uchwara za kulazimisha migogoro hata kama haipo..
Mbowe kaenda kuiga hadi mavazi ya EFF hadi aibu kabisa
Kwa upumbavu wako dikteta Samia kuvunja katiba na sheria unaona sawa kwa kuwa tu anatumia polisi kugandamiza haki!Hawa jamaa labda ndo wamezea vya kunyonga ..vya kuchinja hawawezi..
Wengi mno tuliwa onya kuwa
'confrontational politics' hazitawwsaidia kabisa..
Imagine mtu kama Mbowe anaweza kweli kusema Samia dikteta?Samia kasimamia wafutiwe kesi hadi kurusishiwa hela?
Kamtoa Mdude na bado Mdude mibangi kamtukana?
This time wananchi wengi hawana time kabisa na siasa uchwara za kulazimisha migogoro hata kama haipo..
Mbowe kaenda kuiga hadi mavazi ya EFF hadi aibu kabisa
Mashauri wao mkuu ni amsterdamShida kubw inayoikumba chadema kwa sasa ni mipango yao mibovu wameiga mavazi ya EFF wameshindwa kuiga mfumo wao .
Wao wameshika ajenda isiyokuwa na nguvu kwa Watanzania KATIBA .
Watafute ajenda zenye tija
Tatizo linaanza na fikra hizi, kudhani haki ni hisani inayotolewa na kiongozi fulani na si zao la sheria za nchi!Hawa jamaa labda ndo wamezea vya kunyonga ..vya kuchinja hawawezi..
Wengi mno tuliwa onya kuwa
'confrontational politics' hazitawwsaidia kabisa..
Imagine mtu kama Mbowe anaweza kweli kusema Samia dikteta?Samia kasimamia wafutiwe kesi hadi kurusishiwa hela?
Kamtoa Mdude na bado Mdude mibangi kamtukana?
This time wananchi wengi hawana time kabisa na siasa uchwara za kulazimisha migogoro hata kama haipo..
Mbowe kaenda kuiga hadi mavazi ya EFF hadi aibu kabisa
Sasa hiyo ya viongozi kuchukiwa na kuwekwa rumande huoni kama ilikuwa ni starting point ya kuingia road?Kwamba Lissu alisema watu watoke barabarani hawakutoka,kwani hukumbuki viongozi wate walichukuliwa usiku na kuwekwa kusikojulikana.
By the way kila kitu kina faida na hasara zake,yataendelea hivi ila IPO siku haitakuwa hivi.ila bado Wananchi wa Tanzania hawajijui
Na wewe na usenge wako ulionya?Hawa jamaa labda ndo wamezea vya kunyonga ..vya kuchinja hawawezi..
Wengi mno tuliwa onya kuwa
'confrontational politics' hazitawwsaidia kabisa..
Imagine mtu kama Mbowe anaweza kweli kusema Samia dikteta?Samia kasimamia wafutiwe kesi hadi kurusishiwa hela?
Kamtoa Mdude na bado Mdude mibangi kamtukana?
This time wananchi wengi hawana time kabisa na siasa uchwara za kulazimisha migogoro hata kama haipo..
Mbowe kaenda kuiga hadi mavazi ya EFF hadi aibu kabisa
Haki gani umenyimwa kwenye katiba hii?Ukisikia naye kaenda Mzena urudi tena hapa kuuliza tutakupa majibu Mungu hataniwi , yaani Chahali hata hufahamiki unapigania nini , labda ulikuwa unampinga Magufuli tu , sisi tunapigania haki za nchi , ikiwemo Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .