TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 582
Aliyaogopa (pamoja na ukabila) pia kwa sababu yaNaomba kuuliza hivi ni kweli kuwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere huko nyuma aliwahi kupinga haya makabila
wasiwe Viongozi ( namaanisha ) Marais katika nchi hii kwa sababu kubwa kwamba wanaendekeza mno Ukabila na kwamba ni Wakabila wa Kutukuka?
- Wahaya
- Wachagga
- Wasukuma
- Wanyakyusa
Nitashukuru nikipata majibu kutoka kwa Wajuvi na wale Wazee wa zamani mliokuwepo na Mchonga kipindi hicho.
Rudisheni rambirambi za wafiwawauza madawa mnahangaika sana ,,wacha makonda awanyooshe
Tunahitaji vyeti vya Bashiteunaamini uongo huu wa Balile!
Rudisheni rambirambi za wafiwa wacha kujitoa akiliHaya yote wewe ulikuwepo kwenye vikao vya Makonda na Dialo? Au kutunga story za kipumbavu ili kuchafua watu, we ushasema Star tv wako kibiashara sasa kama Makonda analipa airtime wewe inakuuma nini? Acha majungu mke kama mwanamke wa uswahilini.
Rudisheni rambirambiunaamini uongo huu wa Balile!
Hivi RC kuwa na vyeti fake halafu akasimamia kufukuza watumishi wenye vyeti fake na yeye asiwajibike ni umbea?!Naitamani sana siku watanzania tutakapo anza kujadili issues na sio kujadili gossips na umbea umbea tu usio kuwa na tija
We have to change guys
Dereva aliweka vinasa sautiHayo umejuaje wakati wakukua wawili tu wanapanga?
Ukiona moshi unafuka wahi kuwaita zimamotoHear say nyingi saana
Mtoto hupitia kwa baba kuomba haja zake.Anamuhaidi Dialo ukatibu mkuu wa chama kwani makonda ana nafasi gani katika chama?
Umempa sifa ambazo hana na hastahili. He is running his own head.Makonda runs the country.
Bashite nguvu hiyo anaitambua sana, ona anavyohaha sasaNimekuja kujua media kumbe inanguvu sana baada ya Kumpoteza Makonda"