Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

Acha taarifa za porojo kama hukuwa ndani ya maongezi yao wewe umejuaje taarifa hizo kama siyo uongo
 
Safi sana, nafikiri dozi ya gentamycine imemuingia vizuri kijana.
 
Shybubu siri huwa ni ya mtu mmoja tu. Ikiingia kwa watu wawili na zaidi sio siri tena. Ukiongea siri hapa, huyo uliyeongea naye hafungwi kujadili na mtu mwingine ambaye siajabu anamuamini zaidi kuliko wewe, then it goes that way.
Nimekuelewa sana TGInocent, lakini bado haitoshi kuwa fact, still we have opinions.
 
Hasira za nini?
 
kanda ya ziwa watajaa serikalini miaka hii iliyobaki, msishangae miaka ijayo bashite ni raisi wa tz si unajua hawa jamaa wakiweka hata jiwe watakachachua kura ili jiwe lishinde
 
Bashite anahaha na bado mbona mapema sanaa hivi?? Mzee Diallo anaota Ukatibu Mkuu hataupata anaona sababu yeye ni wa nyumbani? Atashangaaa!!!
 
Mkuu leo unatiririka hadi raha, nimeishakutangulizia like za kutosha! Ni kweli kwamba ukaribu wa hawa watu unaligharimu sana taifa hili; kimaadili na mambo mengine. Mtu mwenye akili ya kawaida anaweza kujiuliza-hivi vitendo vya Bashite, kuanzia kutukana na kudhalilisha wafanyakazi kwenye mikutano ya hadhara na haya ya kughushi na "kuvamia" kituo cha runinga kisha kutishia wafanyakazi wa kituo kuwa wasipotii matakwa yake atawatengenezea kesi za unga, ndiyo mteuzi wake anataka jamii ijifunze? Inauma sana, na ukweli Kikwete alifanya kosa ambalo halitasahaulika!
 
Na vile anajidai kumjua sana Mungu ilhali akiwatendea ubaya watu wa Mungu ndo anazidi kujipatiliza.
 
Hahahaaaaaa.....poleni!
Poleni nyie mnaotaka kuwafanya mafala wenzenu, na tumeishawambia tafuteni santuri nyingine maana hiyo iliishachuja pale tu ilipoanza. Ukijua hili wenzako wanajua lile!
 
Kila kitu kina mwanzo na mwisho, na sote huwa tunaomba mwisho mwema..........Jk tulihisi atakua na mwisho mbaya sasa walo wengi wanamuombea heri. Ni muda tu kwa yeyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…