Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

Inasemekana aliwakataa
Wahaya
Wachaga
Wanyakyusa
Hao wote kwa kubebana.....ila akawakataa Wasukuma kwa kuwa ni kabila kubwa akitokea kiongokzi upande huo na akaamua kuwabeba watakuwa wao tu..........inasemekana lkn
Nitupie mawe nikajenge msingi
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Masikini Bashite amekuwa mtu wa kufukuzia media badala ya media kumtafuta yeye.

Kuna siku nilimsikia akitangaza ujio wa mgeni Dar kupitia radio ya mama Lwakatare nikamhurumia sana.

Kwahiyo kumbe yawezekana hata ule Ubunge wa Kuteuliwa wa Mama Lwakatare ulitokana na Yeye kukubali Radio ya yake kumpa airtime Paul Makonda hivyo Makonda nae akaenda kwa Baba yake wa Kufikia kumpigia pande Mama Lwakatare? Ila ipo siku ukaribu wa hawa Wawili Baba na Mwanae utaishia kubaya mno na kuna mmoja ataumia, kuumbuka na kuaibika mno. Ni suala la muda tu.
 
Bashite ni janga la Taifa.

Watanzani tuangalie tulipokosea kutokana na maamuzi yetu tuliyoyafanya.

Lengo la Bashite kutaja wafanyabiashara wakubwa kwenye sakata la madawa ya kulevya lilikuwa ni mbinu ya kupora.
Ona sasa anajidai atapewa pesa na hao wafanya biashara ili anyooshe mambo yake.

Hivi vituko vya madaraka ya kulevya havijawahi kutokea
 
Ukipenda sana Mbunye tena za Watoto wadogo / Vibinti vya Vyuoni SAUT, CBE na UDSM lazima tu utafilisika utake usitake.
Kuna dada mmoja mweusi bongebonge ana umbile la hatari,alimfanya mtangazaji,ana macho makubwa hivi,sijui Siku hizi yuko wapi

Na kengine keusi hivi kako mwanza eti kaafisa utawala,
 

Kwahiyo kwa tafsiri iliyo pana tu ni kwamba hatimaye maono ya Baba wa Taifa Nyerere juu ya Wasukuma yametimia?
 
ANAJIFICHA KWENYE SHAMBA LA KARANGA.....TEH TEH TEH TEH 😀😀😀😀😀😀
 
Kuna dada mmoja mweusi bongebonge ana umbile la hatari,alimfanya mtangazaji,ana macho makubwa hivi,sijui Siku hizi yuko wapi

Na kengine keusi hivi kako mwanza eti kaafisa utawala,

Nashukuru kwa Kunielewa Mkuu na kwa mifano yako hiyo Kuntu miwili sasa nadhani utakuwa umeshajua kwanini Mzee mzima na Sahara Media yake kapukutika Kiuchumi. Mbunye si mchezo Mkuu!
 
Kwahiyo kwa tafsiri iliyo pana tu ni kwamba hatimaye maono ya Baba wa Taifa Nyerere juu ya Wasukuma yametimia?
Sasa hapo siwezi kujua mkuu maana sijaona kama Baba Jesca anawabeba wasukuma ila nachokiona ni baadhi ya wasukuma kujibeba au kujikweza kupitia jina la Baba Jesca.......ila kumbuka mkuu nimesema "inasemekana" huenda Nyerere hakusema haya!!
 
Oooh inasemekana, oooh chanzo kilidokeza, chanzo gani?! Majungu tu.
 
Reactions: nao
Nilishangaa kuona tangazo star tv likimuonyesha Makonda!!!! nikajisemea mwenyewe nini tena hii kitu!!
 
Kwa hiyo sio msiba tena uliompeleka ande huko, mnatabu kweli kweli...chumvi nyingiiiuu
 
Reactions: nao
Kumbeee!

Wanacheza mchezo mchafu sana!
 
kwa mtizamo wangu ufisadi chini ya awamu ya 5 haujapungua kitu ukilinganisha na awamu 2 za nyuma.
tofauti ni kuwa kwenye awamu 2 zilizopita ufisadi ulikuwa distributed miongoni mwa viongozi kadhaa wa chama tawala.
awamu hii ufisadi upo concentrated kwa wateule wachache!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…