Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

Hawa watu wanachekesha sana, kama bado kunamtu anawaamini aisee hospital ya wale jamaa zetu pale Dodoma inawahusu, walisema alikuwa Mwanza bottom (night club), leo wanasema alikuwa Malaika, eti kampuni imefirisika mpaka Samwel Nyalla kaamua kuondoka, mtu alikuwa mahututi India kwa matibabu washenzi wanakuja kudanganya malofa wenzao, mwafa.
 
Ni vyema taarifa hii angeliileta mdokezaji,vinginevyo ni uzushi.
 
Baki tu njia kuu Mkuu.

''Lisemwalo........"
 

Ifike mahali tuache kumshangaa Makonda, tumpuuze! Hapo yy ndipo mwisho wa uelewa wake, na anajiona yuko pouwa tu! Rejea Askofu Gwajima "zero on paper translate zero in brain!! Na wale wanaocheza kila wimbo wake kumbuka hii" Birds of the same feather flock/tweet together"
 
Umenikumbusha,diallo pia aliwahi kumiliki kampuni ya ndege,leo kafilisika,kafulia,kawa masikini wa kutupwa,kweli maisha yanakimbia,kwa kasi ya Ussain Bolt!!
mmh mkuu umeshadadia kufulia kwa Diallo, lazima kuna kitu alikutenda si bure
 
Ni vyema taarifa hii angeliileta mdokezaji,vinginevyo ni uzushi.
Mleta habari mwenyewe anasema "inasemekana" mara eti sasa hiyo habari niyakuaminika kweli!!!? Ama yakusadikika tu.hahaha na kuna watu wametoa povu hilo mpaka mishipa ya shingo imewasimama jamani.
 
Huyu hahitaji kusamehewa maana hadi sasa hayuko tayari. Msimlazimishe aombe msamaha. Aliomba msamaha kanisani na msikitini. 😉😉😉😀😀
 
Kipindi ni lini na saa ngapi? TEF Hawako fair, wanatunyima habari kwa sababu ya ugomvi wao na kiongozi. Eti wanadai(TEF) uhuru wa habari wakati wanambania mwenye habari..

Una u ndugu na bashite au ndiyo uelewa wako juu ya uhuru wa habari ulipoishia?
 
Asante kwa taarifaa mkuu
 
rubbish, uongo mtupu. mnafiki sana wewe kiumbe
 
Mleta habari mwenyewe anasema "inasemekana" mara eti sasa hiyo habari niyakuaminika kweli!!!? Ama yakusadikika tu.hahaha na kuna watu wametoa povu hilo mpaka mishipa ya shingo imewasimama jamani.
Suala LA Makonda na vyombo vya habari linapofanywa kama siasa linaviharibu vyombo vya habari.
Sidhani kama kufungia habari za Makonda kutajustify weledi wa vyombo vya habari.
Jukwaaa LA wahariri na vyombo vya habari wanapaswa kubadilika kwani kwa kufanya hivyo wanawanyima watu uhuru wa kupata habari.
Vilevile si busara kwa wana habari /wanasiasa kutunga tunga habari bila ushaidi wowote kwa kutumia maneno "tetesi,inasemekana,nimedokezwa,nimetonywa n.k" ili eti kupima upepo au kuleta mijadala inayoharibu habari/taswira ya cho/vyombo cha/vya habari.
 
Reactions: nao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…