Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

Mtaongea sana lakini Najua Sikuhiyo Hadi kuku zitakuwa Live haha
 
Kama Dialo atakuwa katibu mkuu wa ccm then chama kitakuwa cha kikanda rasmi na Nadhani coming 2020 Kuna kampeni kubwa dhidi Yao zitaendeshwa
 
Kama Dialo atakuwa katibu mkuu wa ccm then chama kitakuwa cha kikanda rasmi na Nadhani coming 2020 Kuna kampeni kubwa dhidi Yao zitaendeshwa
Kuna jamaa mmoja ana cheo kikubwa cha utendaji ni mjomba wake filipo,
 
Kuna jamaa mmoja ana cheo kikubwa cha utendaji ni mjomba wake filipo,
Hakika
Pattern yake ya kufikiri unaona kabisa ni mnufaika wa mfumo. Haongei kama mtanzania mwenye kuona Mambo kwa uhalisia zaidi. It is true Wengi wetu tupo biased kwa kuwa mfumo wa sasa umetutupa nje lkn pia umetuacha na sintofahamu za uhakika wa ugali wetu.
Pamoja na yote hayo, bado utawala huu haujakaa sawa kwenye demokrasia, huo ukombozi wa mnyonge na umekuwa na double standards. Kibaya kuliko yote ni investment kwenye trust watu waliyompa mkuu, ndio chanzo cha vilio vyote hivi! Watu wako disappointed mno, kelele hizi ni vilio vya wapiga kura waliomchagua ni kama wanajutia zaidi. Kuliko vilio vya wapiga deal.
Wale waliokula awamu ile bado wapo leo kina homeshopping Centre wamerudi na majina mapya na wanaingia maeneo muhimu kama kawa
 
Yawezekana kuna mambo nikawa sikubaliani na Diallo, lakini huyo Diallo siyo maskini au hana uwezo wa kufanya mambo yake hadi afikie kiasi cha kuomba msaada kwa Makonda. Huu ni uvumi uliopitiliza.
 
Acha taarifa za porojo kama hukuwa ndani ya maongezi yao wewe umejuaje taarifa hizo kama siyo uongo
Sasa hivi CDM wamebaki kutunga uongo ambao hata haudumu mwizi miwili but Magu keshawajulia anawakimbiza mchakamchamka mpaka wamechanganyikiwa hawajui waongelee jambo gani
 
Mtahangaika sana vibalaka wa biashara zileeeee.....pole sana!
Siyo nimelike kukufurahisha Bali kujoke na hicho kiswahili chako! Vibalaka=vibaraka. Kibaraka wa DAB mkubwa! Hivi ninyi mnaounga mkono mambo ya kijinga yanayofanywa na MTU huyu kwa kodi zenu huku mama, Dada na jamaa zenu wakifia mahosptalini kwa kukosa huduma na watoto wenu wakikosa vitabu mtakuwa mmelogwa si bure! Fungueni macho na maskio ya bongo zenu acheni upumbavu na ushabiki usio na tija.
Hivi, bei ya sembe mtaani kwako ni kiasi gani?
 
Mbona Mako anaonekana kuwa na uwezo na madaraka zaidi ya RC anaokana kuwa mteule na msaidizi wa karibu wa president
 
UWAZI WA MAKONDA STAR TV SIRI HII HAPA NJE NDANI!

Baada ya Paul Makonda hali yake kisiasa kuchafuka kutokana na matendo yake hivi karibuni alikuja Mwanza na kubaini kuwa kwa sasa amepoteza mvuto Kabisa kutokana na kukosa kiki kwenye vyombo vya habari na baadhi ya marafiki zake kuanza kumkimbia.


Inasemekana ujio wa Makonda Mwanza ilikuwa ni Kwa ajili ya kuweka mambo sawa na Mkurugenzi wa Star Tv ndugu Antony Dialo, ambaye walikutana Kwa siri na Mkurugenzi huyo.

Imebainika kuwa Makonda alikuja Kwa malengo matatu la kwanza ni kujaribu kuweka mambo sawa na Dialo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama mkoa wa Mwanza ambaye anaunga mkono tamko la Jukwaa la wahariri kutokurusha habari za Makonda.

Imefahamika katika lengo la kwanza walimtisha mzee Dialo kama atashindwa kufanya kazi pamoja na Makonda watamuondoa mara moja ndani ya chama Kwa kumvua nyadhifa zote za uongozi.

Jambo la pili tulilodokezwa ni kwamba Hali ya uchumi ni mbaya katika kampuni ya Sahara iliyopelekea MD wake ndugu Sammy Nyala kuondoka kutokana kushuka sana kibiashara katika kampuni hiyo inayomilikiwa na Mzee Dialo siku hizi hawafanyi vizuri kibiashara na ukichangia na Deni la zaidi ya shilingi bilioni nne kutoka TRA.

Makonda alimuhaidi atamsaidia kuongea na mamlaka za juu kumpatia TAX HOLIDAY endapo atakubali kufanya naye kazi na kurusha taarifa zake Yeye Makonda.

Makonda katika safari ya Mwanza aliambatana na Ray pamoja JB ambaye hivi karibuni amemteua kuwa mhamasishaji wa wasanii katika kusambaza taarifa za Makonda mitandaoni.

Katika Siku ya Pili pale Malaika Resort Makonda alisikika akiongea kwenye simu na mtu ambaye alionekana kumtii sana ndani ya chama na kumpatia taarifa juu ya adhima ya Antony Dialo kuifikiria zaidi nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi.

Jioni walipokutana Katika hotel ya Malaika Resort Majira ya Jioni Gari ya mzee Dialo ilifika, Makonda na Dialo walizungumza tena Kwa kirefu na kupanga jinsi gani wataweza kufanya kazi pamoja mojawapo ni kujisafisha kuhusu uvamizi wa Clouds Media ili kuizima ishu ya Uvamizi mipango ipangwe haikuwa ishu ya Gwajima bali tetesi za uwepo wa Dawa za kulevya rejea tamko aliloliandika Mzee Dialo.

Pia wakati wanazungumza na Mzee Dialo, Makonda alimjulisha kuwa tayari mipango ya kumuandalia nafasi ya Ukatibu mkuu ndani ya chama CCM Taifa imekwishaiva hivyo asiwe na wasiwasi pale Mkutano Mkuu Taifa utakapoitishwa muda wowote kuanzia sasa kumjadili Nape Nnauye basi ndiyo utakuwa muda muafaka wa jambo lake kuingizwa kwenye ajenda ya Mkutano Mkuu.



Chanzo kilidokeza kuwa Makonda alimuhaidi kumpatia Dialo Kiasi cha fedha ambacho atachukua kutoka kwa Wafanyabiashara marafiki zake wa Dar kwa ajili ya kumsaidia kulipa madeni na Mishahara kwa wafanyakazi wake Kwa mwezi wa 3 hadi wa 6 kwani inasemeka wafanyakazi hao wengi wao bado hawajalipwa Mishahara yao isipokuwa posho ndogo zilizopo Kwa ajili ya kujikimu kwa kuwa hali ya Uchumi kwenye kampuni hiyo ni Mbaya sana.

Kingine Makonda amehaidi kumsaidia Anthony Dialo kwa kumpatia ulinzi kwa kipindi Chote watakachokuwa wanafanya kazi pamoja kumlinda na hasira kutoka Kwa waandishi wasio unga mkono harakati za Makonda.

Baada ya kumaliza Maongezi na na Makonda inasemekana Dialo aliwaita wafanyakazi wake na kujadiliana wajipange jinsi gani ya kufanya kazi na Makonda kitu ambacho Wafanyakazi wametafsiri kuwa ni ishara mbaya kwa kituo hicho cha habari hasa ikichangiwa na uhusiano mbovu na dharau alizozionyesha Makonda kipindi cha nyuma kwa wafanyakazi wa kituo hicho.

Unaambiwa Baada ya Antony Dialo kumaliza kile kikao aliwashinikiza wafanyakazi wake kuwa asiyetaka aondoke akatafute kazi sehemu nyingine Kwa kuwa tayari ajenda pekee alizobaki nazo kwa siri kichwani ni Ukatibu Mkuu wa chama na kusamehewa madeni anayodaiwa.

Kwa Taarifa zilizopo mzee Dialo alikwenda South Africa haijulikani alikwenda kufanya nini, nitaendelea kuwajuza kwa kadri iwezekanavyo juu ya ziara hiyo na kila kitu kitakuwa wazi.

Hii sasa ni kufuru kama Paul Makonda ataendelea kutumia ukaribu wake na Mamlaka za juu ili tu aendelee kujinufaisha Kwa maslahi yake binafsi.

Hujui chochote na wasomaji puuzieni habari hizi! Niwaambie Dialo anausaka ukatibu mkuu CCM kwa udi na uvumba na amegundua kwamba Makonda ndio mshika filimbi wake, na kwamba ili yeye awe katibu mkuu lazima kwanza amgombanishe Kinana na JPM, pia amgombanishe Lukuvi, anayeshikilia ukatibu mkuu hadi sasa, na JPM. Dialo aliusubiri ubunge wa kuteuliwa ahatimaye akakosa vyote na likichobaki ni ukatibu mkuu. Huko nako atakosa na kujua kwamba ametumika na JPM kama mpira wa kiume...ukweli tupu huo.
 
Back
Top Bottom