BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Hapo nina uhakika Ma DC hawajulishwi,kumbuka sakata la juzi juzi yule aliyekataa uteuzi,halafu mimi mwaka fulani kuna mtu tulikuwa naye field kikazi akapigiwa tuu simu ameteuliwa anahitajika Dsm kuapishwa siku 2 mbele msafara ukarudia hapo hapo tulipokuwa tumefika.Wewe ni muongo. Kabla kuteuliwa anajulisgwa kabisa na kukubali. The same kwa mawziri na ma DC wengine. Hakuna teuzi za kushtukizia kama hujui.
Acheni fiksi