Uwaziri Mkuu wa Majaliwa ni wa Mungu mwenyewe

Uwaziri Mkuu wa Majaliwa ni wa Mungu mwenyewe

Wewe ni muongo. Kabla kuteuliwa anajulisgwa kabisa na kukubali. The same kwa mawziri na ma DC wengine. Hakuna teuzi za kushtukizia kama hujui.

Acheni fiksi
Hapo nina uhakika Ma DC hawajulishwi,kumbuka sakata la juzi juzi yule aliyekataa uteuzi,halafu mimi mwaka fulani kuna mtu tulikuwa naye field kikazi akapigiwa tuu simu ameteuliwa anahitajika Dsm kuapishwa siku 2 mbele msafara ukarudia hapo hapo tulipokuwa tumefika.
 
Huyu nae anaunga mkono DP WORLD, HIVYO nae ni mmoja wapo, Kati ya madalali wa kuuza rasilimali za Tanganyika.
 
Wabongo mnapenda habari za umbeya na majungu sana. Kassim kakulalamikia chochote? Tena si ajabu kashiriki mipango yote hii ya kuisuka upya serikali. Watanzania punguzeni umbeya.
Umbea umbea ndo hulka na jadi yetu
Hapo nina uhakika Ma DC hawajulishwi,kumbuka sakata la juzi juzi yule aliyekataa uteuzi,halafu mimi mwaka fulani kuna mtu tulikuwa naye field kikazi akapigiwa tuu simu ameteuliwa anahitajika Dsm kuapishwa siku 2 mbele msafara ukarudia hapo hapo tulipokuwa tumefika.
Mkuu unabisha nini wakati mimi mwenyewe DC
 
Wewe ni muongo. Kabla kuteuliwa anajulisgwa kabisa na kukubali. The same kwa mawziri na ma DC wengine. Hakuna teuzi za kushtukizia kama hujui.

Acheni fiksi
Ilikuwa zamani hiyo siku hizi ukiteuliwa au kutenguliwa unaona kwenye taarifa ya habari au mtandaoni. Majaliwa alikuwa anahamisha vitu vyake kutoka kwenye nyumba aliyokuwa anakaa 2010-2015 ghafla akambiwa na kijana aliyekuwa anaangalia bunge kwamba njoo uone umeteuliwa kuwa PM hayo ni maneno yake mwenyewe.
 
Hii nafasi ya naibu waziri mkuu ilikuwepo kikatiba tangu majaliwa hajatoka kijijini kwao ruangwa kwahiyo kama ndio kimemkasirisha basi kumbe haijui katiba.
Kifungu gani kinataja hiyo nafasi? Acheni story za kwenye vijiwe vya kahawa. Wakati kikiwepo hakikuwepo kikatiba na leo kimerudishwa sio kikatiba ila kwa mapenzi ya mtawala
 
Kila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake.

Kibinadamu kabisa hakuna aliyedhania kama waziri mkuu angekuwa Kassim sababu hakuwahi kuwa hata waziri kamili wala hakuonekana mtu wa mtandao.

Kiuhalisia ni Mungu mwenyewe ndiye alimpa hii nafasi. Apangacho Mungu mwanadamu hawezi kukitengua, asimame imara kwa imani atimize majukumu yake.

Asikubali tena kubeba uchafu wowote na kuutetea bali asimame na nchi na asimamie haki. Ni bora watesi wako wakakutoa kwenye kiti kwa kusimamia haki kuliko kuondolewa kwa aibu.

Siku zote sisi wananchi ndio mahakimu..kama sio leo kesho.
Hata hueleweki ulichoandika. Kwani ye ndiyo waziri mkuu wa kwanza? Halafu hoja yako ni nini, kuwekewa naibu? Kafanye mambo yako
 
Wabongo mnapenda habari za umbeya na majungu sana. Kassim kakulalamikia chochote? Tena si ajabu kashiriki mipango yote hii ya kuisuka upya serikali. Watanzania punguzeni umbeya.
We uko sawa, hakuna uteuzi unafanyika bila kumshirikisha waziri mkuu. Hiyo nafasi kabla ya kuundwa rais alikaa na makamu wa rais pamoja na waziri mkuu wakaona haja ya kuiweka. Usikute waziri mkuu ndio alitoa ushauri. Mbona mawaziri wana manaibu, wengine mpaka wawili. Huo naibu waziri mkuu amepewa shughuli maalum. Samia siyo mpumbavu hivyo kwanza serikali haiundwi bila uwepo wa waziri mkuu.
 
Kifungu gani kinataja hiyo nafasi? Acheni story za kwenye vijiwe vya kahawa. Wakati kikiwepo hakikuwepo kikatiba na leo kimerudishwa sio kikatiba ila kwa mapenzi ya mtawala
Nenda X kwenye page ya kigogo Inc ameweka kifungu cha sheria kinachomruhusu rais kuteua nafasi yeyote kwenye serikali.
 
Hii nafasi ya naibu waziri mkuu ilikuwepo kikatiba tangu majaliwa hajatoka kijijini kwao ruangwa kwahiyo kama ndio kimemkasirisha basi kumbe haijui katiba.
Katiba Gani inamtambua naibu wazir mkuu ebu acha uongo leta evidence hapa,,iki cheo kipo kama emergency tu tena kiliaza kipindi Cha mwinyi ezi za kina Salim A. Salim but kipo out of katiba,,kwenye katiba Hamna mahali inakitambua hiki cheo.,
Kama hutaki leta ushahidi hapa tuone hicho kifungu kinachomtambua naibu wanzir.
Acha ujuaji wakat hujui lolote😏
 
Kula chuma hicho
 
Attachments

  • Screenshot_20230831_140218_X.jpg
    Screenshot_20230831_140218_X.jpg
    111 KB · Views: 2
Kwa sisi tuliofanya kazi kwa wahindi miaka nenda rudi hadi tunazeeka nao hawa jamaa tunalijua hilo, yaani ukiona dogo analetwa kuwa msaidizi wako afu anapewa kazi nyeti na boss ... hapo inahitajika uvumilivu wa kiwango la lami.
 
Back
Top Bottom