inaonekana Mzee Kasim kawagomea kwenda kuutetea ule mkataba 😀Asikubali tena kubeba uchafu wowote na kuutetea bali asimame na nchi na asimamie haki. Ni bora watesi wako wakakutoa kwenye kiti kwa kusimamia haki kuliko kuondolewa kwa aibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inaonekana Mzee Kasim kawagomea kwenda kuutetea ule mkataba 😀Asikubali tena kubeba uchafu wowote na kuutetea bali asimame na nchi na asimamie haki. Ni bora watesi wako wakakutoa kwenye kiti kwa kusimamia haki kuliko kuondolewa kwa aibu.
Kwamba yeye alikua hana hilihili wala lile alikua zake pale Chako ni Chako akipiga viepe? Ndipo Mkastua kuwa ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu, ndiyo akaanza kukimbia kuelekea Ikulu?Kila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake.
Kibinadamu kabisa hakuna aliyedhania kama waziri mkuu angekuwa Kassim sababu hakuwahi kuwa hata waziri kamili wala hakuonekana mtu wa mtandao.
Kiuhalisia ni Mungu mwenyewe ndiye alimpa hii nafasi. Apangacho Mungu mwanadamu hawezi kukitengua, asimame imara kwa imani atimize majukumu yake.
Asikubali tena kubeba uchafu wowote na kuutetea bali asimame na nchi na asimamie haki. Ni bora watesi wako wakakutoa kwenye kiti kwa kusimamia haki kuliko kuondolewa kwa aibu.
Siku zote sisi wananchi ndio mahakimu..kama sio leo kesho.
Mkalidayo kwenye ubora wakeWewe ni muongo. Kabla kuteuliwa anajulisgwa kabisa na kukubali. The same kwa mawziri na ma DC wengine. Hakuna teuzi za kushtukizia kama hujui.
Acheni fiksi
Beba box wewe acha porojo u DC unaujua wewe mkanaan?Utanibishiaje wakati mimi DC?[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Be aware broo!😲 hicho kifungu kinaelezea power of president but sio naibu wazir mkuu,,ni kweli president anaweza kufanya chochote some time hata kutoka out of constitution but for his/her interest. Hasa kwenye hizi nchi zetu ambazo ziko matakoni mwa Dunia. Hapo amejaribu kueleza power of president namna alivyo na uwezo wa kuadd au hata kucancel any position ktk vyeo mbalimbali ambayo kimsingi hata havipo kwenye katiba.Kula chuma hicho
Naikumbuka hii fix nyingine ya ketelefone: "wewe ndiye mama bonge"? Wakati mama bonge ni mshirika wake kibizness.Yule mzee akikwambia sahivi ni saa 7 mchana toka nje uangalie jua unaweza kuta ni saa 3 usiku
Ni msanii snNaikumbuka hii fix nyingine ya ketelefone: "wewe ndiye mama bonge"? Wakati mama bonge ni mshirika wake kibizness.
Naona unazunguuka na jibu unalo. Hicho kifungu ndio kinampa sasa Rais uwezo wa kufanya alichofanya.Be aware broo!😲 hicho kifungu kinaelezea power of president but sio naibu wazir mkuu,,ni kweli president anaweza kufanya chochote some time hata kutoka out of constitution but for his/her interest. Hasa kwenye hizi nchi zetu ambazo ziko matakoni mwa Dunia. Hapo amejaribu kueleza power of president namna alivyo na uwezo wa kuadd au hata kucancel any position ktk vyeo mbalimbali ambayo kimsingi hata havipo kwenye katiba.
But remember In democratically inatakiwa kuwa no one to be above the law but in Africa president kuwa above the law is normal..
NB. Acha kumfatilia kigogo mlopokaji huyo yeye mwenyew hajijui kuwa wakiume au wakike
Kilete Hhapa, hata hivyo kifungu unachokisema hakitaji nafasi specific kinataja nafasi yoyote kwa maana anaweza akateua hata naibu makamu wa rais. Hoja yangu ni kwamba nafasi ya naibu waziri mkuu haijatajwa popote kwenye katiba specifically or generally haipo kabisa inaundwa kwa mapenzi ya mtu na kwa kutumia kifungu ambacho kimempa uwezo wa kuteua yeyote. Kabla ya 2024 kuisha kati ya Bashungwa na Aweso mmoja atakuwa naibu makamu wa raisNenda X kwenye page ya kigogo Inc ameweka kifungu cha sheria kinachomruhusu rais kuteua nafasi yeyote kwenye serikali.
Unayemzungumzia hapa ni yule aliyetufix jamaa yko ofisini anachapa kazi?Kila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake.
Kibinadamu kabisa hakuna aliyedhania kama waziri mkuu angekuwa Kassim sababu hakuwahi kuwa hata waziri kamili wala hakuonekana mtu wa mtandao.
Kiuhalisia ni Mungu mwenyewe ndiye alimpa hii nafasi. Apangacho Mungu mwanadamu hawezi kukitengua, asimame imara kwa imani atimize majukumu yake.
Asikubali tena kubeba uchafu wowote na kuutetea bali asimame na nchi na asimamie haki. Ni bora watesi wako wakakutoa kwenye kiti kwa kusimamia haki kuliko kuondolewa kwa aibu.
Siku zote sisi wananchi ndio mahakimu..kama sio leo kesho.
Kipindi cha jiwe jambo hili lingewezekana. Lakini kawaida haiwezekani kushtushwa tu kwamba umeteuliwa nafasi fulani. Lazima ujulishwe kabla ya tangazo ili uridhie uteuzi ama ukatae kama una sababu, eg ugonjwa au kipaumbele chako kingine kama masomo au ajira nyingine nzuri zaidi.Hapo nina uhakika Ma DC hawajulishwi,kumbuka sakata la juzi juzi yule aliyekataa uteuzi,halafu mimi mwaka fulani kuna mtu tulikuwa naye field kikazi akapigiwa tuu simu ameteuliwa anahitajika Dsm kuapishwa siku 2 mbele msafara ukarudia hapo hapo tulipokuwa tumefika.
Kumhusisha mwenyez MUNGU na mamb ya siasa za hovyo za bongo mnakosea san. Hakuna uchaguzi wa haki wala viongoz ni kuchaguana kulingana na mazingira ya kulindana!!Kila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake.