mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Nimeshangaa sana mama ake kupanda boda boda huku mwamba mapicha picha kibaoNahisi MC Pilipili ?????
Nimepata darsaa murwaaLeo narudi kwa Babu yangu Kariakoo Mtaa wa Kariakoo kufungua juzuu na kupata mawaidha kuhusu husda.
Naomba msikilizeni Sheikh akitoa mawaidha dhidi ya husda, na mjiondoe kwenye kufanya dhambi ya husda mpaka misibani.
To be sure, mimi sina dini lakini mafunzo mazuri yaliyomo katika dini nayapenda.
Karibuni.
Wanaotaka makuu hata sio wazazi, ni watu tofauti ambao hata hawakuwepo wakati unahangaika kutafuta maishaYour immediate family (baba+Mama mmoja) unashindwaje kuwainua na ww celebrity?
Kuwatunza wazazi Ni jukumu lako kijana. Usijisahau kwa hizo hips za mkeo ambae hathamini wazazi wako Tena anasukuma ndinga lako huku wazazi wako wanakwea usafiri wa mshkaki. Huko kijijini nyumba haielewek ninyi mmekalia picha za instaWanaotaka makuu hata sio wazazi, ni watu tofauti ambao hata hawakuwepo wakati unahangaika kutafuta maisha
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]Akifa Mzazi wako tukija msibani lazima uumbuke tukilinganisha mashauzi yako ya Insta
Naona umeitaja homecity ayeeTutafute pesa, tupendezeshe kwetu (zikiwemo nyumba za ibada wanapoabudu wazazi nyumbani). Wenzetu wachaga wanachangia hata wakiwa huku mijini. Sisi toka Singida sijui tunakwama wapi?
**Haifurahisi unaendesha Gari Kali (Range Rover, VW, Ford au BMW) halafu home picha za kuibia, unavizia palipopambwa tu!
Nashukuru kwa kufuagukia mawaidha.Nimepata darsaa murwaa
Mkuu Kiranga nimefurahi kuona ni mfuatiliaji wa mawaidha ya kiislamu
Karibu kwenye dini ya uislamu nawe uwe muislamu!
Tuendelee kusoma comments tutaelewa tuuThread inamhusu Nani?
Nakazia hapaMambo ya familia ni changamoto hasa kwenye Mali. Nilikarabati nyumba ya familia na wazazi kuhamia kwangu nilipojenga. Nyumba ina wapangaji na hela inaingia Kwa ajili ya kuendesha familia. Cha ajabu ikitakiwa ukarabati naangaliwa Mimi. Ni ngumu jamani sababu Ile ni Mali ya familia sio ya MTU mmoja na mara nyingi wale ndugu wajanja wajanja wasiochangia kitu huwa Wana Fujo Sana wazazi wakitangulia.Ndio maana watu wanajitenga na Mali za familia.
HAPPY NEW YEAR 2021Nashukuru kwa kufuagukia mawaidha.
Mimi ni mfuatikiaji mzuri wa mawaidhq na hata Quran ninayo naisoma.
Kuna sehemu ina mawaidha mazuri sana tu.
Kwa leo niishie hapo kuongelea upande huo.